Unanikumbusha stori ya malkia wa ufaransa aliyewaambia watu walioandamana kwa kukosa mkate, kuwa kwa nini wasile keki?Panda ndege Mkuu, Dom mpaka Mtwara then unapanda basi Mpaka Tunduru.
Hiyo Route kwa Busi utachoka sana..
Kwa usafiri wa Ardhi labda kujaribu SGR hadi Dar then ukifika Dar una-book Barakah Ile VIP Ina mapaka choo ndani.. ukitoka Asubuhi mapema Dar utafika tunduru kuanzia mida ya saa 9 au 10 jioni
Hadithi unayoirejelea ni maarufu lakini si sahihi kihistoria. Inahusiana na Marie Antoinette, mke wa Mfalme Louis XVI wa Ufaransa. Inasemekana kwamba, alipokuwa akielezwa kuwa wakulima walikuwa wakilalamika kwa kukosa mkate, alijibu kwa dharau:Unanikumbusha stori ya malkia wa ufaransa aliyewaambia watu walioandamana kwa kukosa mkate, kuwa kwa nini wasile keki?
Umeeleza stori nzuri ila kwa ufupi sana.Unanikumbusha stori ya malkia wa ufaransa aliyewaambia watu walioandamana kwa kukosa mkate, kuwa kwa nini wasile keki?
Naam. Nimeandika malkia wa ufaransa. Waweza kuisom hapa ingawaje hakuna uhakika kama alisema hivyo. Naona umeifanyia tafiti vizuriUmeeleza stori nzuri ila kwa ufupi sana.
I hope ulitaka kuandika malkia wa ufaransa
Na nina amini hii story Pengine Ina muendelezo mzuri, nimekuwa interested