Kuna vingi sana vinashangaza mara yesu alioa mara alizaa daah yan ni mkanganyiko tuu mkuuHeee wanasem yesu alikufa akiwa na miaka 33, sasa Huyo yohane alimzaa lini mpka awe Mtu mzima wafanane hadi tuda achanganyikiwe kumuoneshea????[emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102]
Labda wewe ndo utajiua kwa stress zako binafsi, coz sijaona kinachofanya watu wajiue kwa hyo pichaKwa hiyo unataka watu wajiue sio
Mkuu basi Weka maneno kidogo kusupport picha [emoji5] [emoji5]The Annunciation by Leonard da Vinci.
View attachment 427494
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Jina kamili la Leonardo lilikuwa "Leonardo di Ser Piero da Vinci", ambalo lina maana ya "Leonardo, mtoto wa Bwana Piero kutoka Vinci".
------------------------------------------------
Nimependa sana utambulisho wa aina hii, kwa nini haukuendelea hadi sasa, mfano:
Mimi ningeitwa "bdo, mtoto wa Bwana Mbuya kutoka Matepwende - Namtumbo".
Hapa ndio tungefahamiana ni akina nani wanaume wa Dar, Arachuga, Chato, ama Pemba.
Hahahahhahah
Ina maana gani hii picha??The Annunciation by Leonard da Vinci.
View attachment 427494
Huyu jamaa alikua anapenda kuchora picha tata kama vile hakuishi hii dunia yetu duhThe Annunciation by Leonard da Vinci.
View attachment 427494
Leonardo alikua hatoi maana ya picha zake kwa maana alikua anapinga kitu fulani katika utawala na mambo ya dini, kwahiyo angetoa maana zake angeuliwa ndio maana alkua anawaacha wana dunia wataabike kujiuliza ni nini hiki. Picha zenye maelezo ni zile za science au ugunduzi wa mashine mbali mbali alikua akiandika maelezo mengi tu. hizi za akina Monalisa katuachia mafumbo hadi leo mwaka wa 500+ tunajiuliza tu bila majibu.Ina maana gani hii picha??
Mimi pia sijui hebu nijuzaniuliyoyaeleza ndio aliyosema mleta mada.....
Pia kuna kikundi kinaitwa 'The sons of mithra ."vitu nilivyogundua humo kuna ishu kama ya freemason,kuna society inaitwa skull n bones, kuna khits, kuhusu kanisa, kuhusu mnara wa paris kuhusu mstari wa greenwich, kuhusu machiano na olympics kuhusu mungu venus na mambo meeeengi sana na kubwa zaidi ni kwamba ile picha ya monalisa inabsura mbili ikiwamo ya huyo jamaa da vinci, na humo anasema kwamba ktk wale wafuasi wa yesu 12 na pia kuhusu maria magdalena kwamba alikuwa na mahusiano na jesus aah we jaribu kusoma vizuuri hicho kitabu utaelewa tuu.
Yesu akuowa wala hakuzaa.atakaporudi ndo atafanya haya.na ataishi miaka 40.na hapo ndo tunaelekea mwisho wa dunia.haya ni kwa mujibu wa mafundisho ya uislamKuna vingi sana vinashangaza mara yesu alioa mara alizaa daah yan ni mkanganyiko tuu mkuu
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Yesu hakuwa na mtotoHeee wanasem yesu alikufa akiwa na miaka 33, sasa Huyo yohane alimzaa lini mpka awe Mtu mzima wafanane hadi yuda achanganyikiwe kumuoneshea????[emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102]
[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]Yesu akuowa wala hakuzaa.atakaporudi ndo atafanya haya.na ataishi miaka 40.na hapo ndo tunaelekea mwisho wa dunia.haya ni kwa mujibu wa mafundisho ya uislam
Usiogope hyo ndo kanuni ambayo imeshaweka.mungu aliweka mwanzo wa dunia na mwisho wa dunia.matukio yote yaliyosemwa na manabii kipindi hcho yatakuja kutokea hata kama si wakati wetu.lakini lazma yatakuja.yesu atarudi,lini hakuna binadamu anayejua.ila mungu.na wapo watakao mkubali na watakao mkataa pia wapo.[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
Hakuna mwisho wa dunia.Yesu akuowa wala hakuzaa.atakaporudi ndo atafanya haya.na ataishi miaka 40.na hapo ndo tunaelekea mwisho wa dunia.haya ni kwa mujibu wa mafundisho ya uislam
sasa kama kuna mwanzo kwa nn mwisho usiwepo?Hakuna mwisho wa dunia.
Hakuna kisichokuwa na mwisho.isipokuwa mungu pekee.Hakuna mwisho wa dunia.
inamaana uchaguzi wa USA unahusika hapa??? [emoji124] [emoji124] [emoji124]Hahaha...hiyo uliyoiona ni picha ya mwanaume aliyeinamisha kichwa chini kudhihirisha kushindwa/kuchoka (lost in a certain battle)
Halafu nyuma kabisa ya mwanamke huyu kwenye picha ya kwanza kabisa aliyoichora Leonardo utaona nyuma chini karibu na mlima kuna simba dume aliyeuawa na uso wake ukalazwa kuelekea juu na meno yakiwa nje.
Hii yote inaashiria kuwa huyu mwanamke alipata nguvu kubwa ya utawala baada ya kuushinda ufalme wa kiume wenye nguvu mno.
Ukiweza kuiona hiyo ya kwanza kabisa utaona vyote hivyo kasoro codes hutaweza kuzisoma usoni kwa dada huyu kwakuwa ni ndogo mno na ni nyingi.
Tafuta sources nyingi.