Naomba kufahamishwa kwa kina kuhusu picha maarufu ya Monalisa

Naomba kufahamishwa kwa kina kuhusu picha maarufu ya Monalisa

Heee wanasem yesu alikufa akiwa na miaka 33, sasa Huyo yohane alimzaa lini mpka awe Mtu mzima wafanane hadi tuda achanganyikiwe kumuoneshea????[emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102]
Kuna vingi sana vinashangaza mara yesu alioa mara alizaa daah yan ni mkanganyiko tuu mkuu

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Ila huyu jamaa alikuwa ana chora bhana tuache utani.yaani alikuwa anatumia mikono tu.
 
Jina kamili la Leonardo lilikuwa "Leonardo di Ser Piero da Vinci", ambalo lina maana ya "Leonardo, mtoto wa Bwana Piero kutoka Vinci".
------------------------------------------------
Nimependa sana utambulisho wa aina hii, kwa nini haukuendelea hadi sasa, mfano:
Mimi ningeitwa "bdo, mtoto wa Bwana Mbuya kutoka Matepwende - Namtumbo".

Hapa ndio tungefahamiana ni akina nani wanaume wa Dar, Arachuga, Chato, ama Pemba.

Hahahahhahah
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Ina maana gani hii picha??
Leonardo alikua hatoi maana ya picha zake kwa maana alikua anapinga kitu fulani katika utawala na mambo ya dini, kwahiyo angetoa maana zake angeuliwa ndio maana alkua anawaacha wana dunia wataabike kujiuliza ni nini hiki. Picha zenye maelezo ni zile za science au ugunduzi wa mashine mbali mbali alikua akiandika maelezo mengi tu. hizi za akina Monalisa katuachia mafumbo hadi leo mwaka wa 500+ tunajiuliza tu bila majibu.
 
vitu nilivyogundua humo kuna ishu kama ya freemason,kuna society inaitwa skull n bones, kuna khits, kuhusu kanisa, kuhusu mnara wa paris kuhusu mstari wa greenwich, kuhusu machiano na olympics kuhusu mungu venus na mambo meeeengi sana na kubwa zaidi ni kwamba ile picha ya monalisa inabsura mbili ikiwamo ya huyo jamaa da vinci, na humo anasema kwamba ktk wale wafuasi wa yesu 12 na pia kuhusu maria magdalena kwamba alikuwa na mahusiano na jesus aah we jaribu kusoma vizuuri hicho kitabu utaelewa tuu.
Pia kuna kikundi kinaitwa 'The sons of mithra ."

Angalia series inatwa "The da Vinci demons"
 
Heee wanasem yesu alikufa akiwa na miaka 33, sasa Huyo yohane alimzaa lini mpka awe Mtu mzima wafanane hadi yuda achanganyikiwe kumuoneshea????[emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102]
Yesu hakuwa na mtoto
 
[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
Usiogope hyo ndo kanuni ambayo imeshaweka.mungu aliweka mwanzo wa dunia na mwisho wa dunia.matukio yote yaliyosemwa na manabii kipindi hcho yatakuja kutokea hata kama si wakati wetu.lakini lazma yatakuja.yesu atarudi,lini hakuna binadamu anayejua.ila mungu.na wapo watakao mkubali na watakao mkataa pia wapo.
 
Unaturudisha nyuma mkuu, hii mada ni ya tatu kuhusu picha ya mona,
 
Yesu akuowa wala hakuzaa.atakaporudi ndo atafanya haya.na ataishi miaka 40.na hapo ndo tunaelekea mwisho wa dunia.haya ni kwa mujibu wa mafundisho ya uislam
Hakuna mwisho wa dunia.
 
Hii piA aliichora huyo huyo leonardo na ni miaka zaidi ya elf moja mia tano,nayeye alitumia tuu akili yake na mawazo yake hivy
 
Hahaha...hiyo uliyoiona ni picha ya mwanaume aliyeinamisha kichwa chini kudhihirisha kushindwa/kuchoka (lost in a certain battle)

Halafu nyuma kabisa ya mwanamke huyu kwenye picha ya kwanza kabisa aliyoichora Leonardo utaona nyuma chini karibu na mlima kuna simba dume aliyeuawa na uso wake ukalazwa kuelekea juu na meno yakiwa nje.

Hii yote inaashiria kuwa huyu mwanamke alipata nguvu kubwa ya utawala baada ya kuushinda ufalme wa kiume wenye nguvu mno.

Ukiweza kuiona hiyo ya kwanza kabisa utaona vyote hivyo kasoro codes hutaweza kuzisoma usoni kwa dada huyu kwakuwa ni ndogo mno na ni nyingi.

Tafuta sources nyingi.
inamaana uchaguzi wa USA unahusika hapa??? [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Back
Top Bottom