Maajabu ya kwanza hayaanzii kwenye hiyo picha ila kwa mchoraji mwenyewe da VinciUmeanza vizuri nikadhani utashusha havy nondo kumbe holaa
- mshana jr Embu njoo sema hapa
Inaaminika ni sura isiyo na kasoro kwa muangaliaji.Nilihadithiwa miaka mingi kidogo, wanasema hyo picha inareflect any kind of feelings yan unahotaka kuona utakiona, ukitaka kuona sura ya huzun ukimuangalia Kwa makin utaona huzun, furaha utaona sura ya furaha, uchovu etc yan chochote.
Nlijaribu kufanya hvyo nkaona ni kweli baada ya kuiangalia kwa kina, hebu na ww jarbu unipe mrejesho
Hata wamasai na wadenmark au scotland pia napenda wanavyotumiaga ile OleJina kamili la Leonardo lilikuwa "Leonardo di Ser Piero da Vinci", ambalo lina maana ya "Leonardo, mtoto wa Bwana Piero kutoka Vinci".
------------------------------------------------
Nimependa sana utambulisho wa aina hii, kwa nini haukuendelea hadi sasa, mfano:
Mimi ningeitwa "bdo, mtoto wa Bwana Mbuya kutoka Matepwende - Namtumbo".
Hapa ndio tungefahamiana ni akina nani wanaume wa Dar, Arachuga, Chato, ama Pemba.
Hahahahhahah
Hadi sasa hakuna aliyejibu hili swali zaidi ya kumjadili tu mchoraji.!Monalisa ni nani??
Monalisa ni nani??
Dinazade unaulizia Monalisa au "Monalisa touch" ??? [emoji23]Monalisa ni nani??
Nani na nani mkuuWanasema hiyo picha ni mchanganyiko wa watu wawili
Anaenda kwanza kula pilau la jumapili akishiba ndio atarudi atachusha hizo nondo na cementHuyu Da Vinci ni mtu hatari aisee yaani pamoja na kuwa alisha fariki dunia lakini bado anauwezo wa kuwafunga watu akili zao wasiweze kusimulia historia yake dah hatari sana!
Kuna jamaa hapo juu kasema atashusha nondo leo naona leo haijafika
Umeelewa swali la mtoa mada na hitaji la wengi katika mada hii?Mazungu yana njia nyingi sana ya kutuburuza amini husiamini, na zote naziona nikila bangi.
Yanatuburuza kiuchumi, kifikra, magonjwa, kielimu, mavazi mpaka kwenye tendo la ndoa.
Hivi lini tutajielewa Wafrika?
Kwa mfano hiyo picha ya Monalisa, Mtanzania inakusaidia nini?
Kwa jinsi mnavyo ihelezea, hamna tofauti na muembe ulio fananishwa na baba wa Taifa.
Ni time ya kufanya ubunifu wetu, kwa sababu mazingira yanaturuhusu tutengeneze History mpya.
Mazungu sio majitu mazuri kwetu hata kidogo, ntawapa mfano mmoja.
Mazungu yanatupa mikopo Afrika, kisha yanaleta na ushoga.
Mfano yakikupa milioni kumi mkopo, ukiizinisha ushoga, yatauza vilainishi vya milion hamsini.
Yataleta madawa kwa waathirika wa ushoga nakuuza milion hamsini.
Yatauza vifaa vya kufanyia vipimo milioni hamsini.
Kisha watatoa msaada wa pampas bure kwa walio alibikiwa malinda ya min kabaang.
Huo ni mfano wa milioni kumi umezaa milion mia na hamsini kupitia ushoga tu.
Ni time ya kuachana kuburuzwa Kifikra.
Huo mwaka Elfu moja mia sita ulikuwepo? Babu yako alikuwepo? Mzaa baba yako alikuwepo? Mzaa babu yako yule alikuwepo?
Achana na vitu usivyo vijua hususani vya Mataifa hayo, kwa sababu ndio yanatufunga kifikra.
Tuwe na ubunifu wa mazingira yetu na tupende vya kwetu.
Kuna picha nzuri Tanzania kama ya Mwl Nyerere?
Nafikiri hii mada ingekuwa ya kuwapa mwelekeo wachoraji wetu ideas kuongeza aina za ubunifu kwa watu Mashuhuli wa Taifa ili na Afrika kwa ujumla.
Au tukubali kuwa watumwa kwa kila kitu mpaka kifikra?
Ni haki katika kila Watanzania wanne mmoja kibuyu.
Umeelewa swali la mtoa mada na hitaji la wengi katika mada hii?
Watu hawajasema wanaipenda au wanaithamini hiyo picha kuliko ya J.K.Nyerere au kuliko vya kwetu.
Watu wanataka kujua "Maajabu Wanayoyasikia" ya picha hiyo.
Hata kama ingesemekana kuwa picha ya Mwl. Nyerere ina mambo au maajabu mengi, si bure watanzania na watu wa nje ya Tanzania wangekuwa na shauku kwanza ya kuiona na kutafuta ukweli.
Pia Suala la wazungu kutufanya wajinga au kututawala je ina uhusiano wowote na picha hii ya Mona Lisa?
Kuna mzungu aliyemlazimisha au aliyemsisitiza Mwafrika kuifuatilia picha hii?
Tupe hata mojawapo tuHii picha imechorwa na genious Da Vinci during medieval era..inasemekana imebeba siri nyingi saana. Siri hizo wachache saana wamepata bahati ya kuzing'amua.
Siri iliyojificha ni kuwa Yesu Kristo alikuwa na mke na alizaa nae mtoto na uzao wake umetawala kama merovingian kings in france. Kanisa katoliki lilificha ukweli huo na kuwa maria magdalene ndo hasa aliyekuwa mke wa Yesu. Ikumbukwe kuwa maria magdalene siyo maria mama wa Yesu. Maria huyo huyo ndiye aliyekuwako chini ya mslaba na Yesu alipo sema mama tazama mwanao na mwana tazama mama yako alikuwa ana mkabidhi maria magdalene rasmi kwa mwanae. Picha hiyo ilienda sanjari na piicha ya last supper ambapo aliyekaa karibu na yesu hakuwa mtume bali maria magdalene. Inasemekana maktaba ya vatican imeficha ukweli huo. Hofu ni kwamba ukweli huo ukiwekwa wazi ukristo u shakani. Siyo mimi bali "da vinci code"
Mwenye kujua ukweli, plz tuko wengi tunahitaj kuujua