Naomba kufahamishwa kwa kina kuhusu picha maarufu ya Monalisa

Naomba kufahamishwa kwa kina kuhusu picha maarufu ya Monalisa

Mona Lisa alikuwa mdada katika koo ya kifalme huko france kipindi hiko. Na according to da Vinci Ni kuwa huyu Dada alikuwa mrembo sana machoni pake. Ndio maana akaamua kumchora.
Da Vinci alikuwa haamini km kuna Mungu.
Na kipindi hiko Papa alikuwa anatawala like dunia nzima. So da Vinci akapigwa ban asiweke machapisho yake katika vitabu maana anapotosha watu. So akaamua kuandika maandishi ambayo kuyasoma lazima uweke kioo kwa juu then usome kwenye kioo. Ndio ikaja hiyo da Vinci code. Na ndio maana akatumia akili nyingi sana ili aweze kufikisha ujumbe wake na ili asijulikane kirahisi ndio maana picha zake zilibeba ujumbe wake ambao mpk utumie akili sana kuelewa ndio kama hiyo Mona Lisa pic.
Ahsante kwa jibu at least umeeleza monalisa ni nani wengine wanamsema mchoraji tu
 
Ahsante kwa jibu at least umeeleza monalisa ni nani wengine wanamsema mchoraji tu
Nikuongezee tu kidogo, monalisa alikuwa mdogo sana kuliko wengi wanavyodhani.

Monalisa hakuwahi kuonesha hasira tangu kuzaliwa kwake

Monalisa alisababisha vifo vya wanaume wengi maarufu kabla ya kufikisha miaka 22.
 
Sababu ya hivo vifo vya wanaume ni nini?
Teh naona lulu anafata baada ya monalisa
Most men died from their love to her, n mostly her smile.

Miaka ya 1400-1500's haikuwa kawaida kabisa mwanamke kumwangalia mwanaume straightly usoni lakini Mona Lisa alikuwa na ujasiri na hali ya kujiamini sana na kufanya hivyo.

Hiki kiliwafanya wanaume wengi kushangazwa naye na kumpenda sana.

Mfano kuna Mwanaume akijirusha katika nyumba ya ghorofa 4 na kuacha ujumbe kuwa kwa miaka minne alikuwa akiiangalia picha hiyo na kushindwa kuielewa na hata ingawa anampenda sana Mona Lisa hawezi kumpata hivyo ni bora ajiue. Pia wapo wengi waliojinyonga.

Lakini kikubwa, ni kwamba huyu mwanamke alikuwa na nguvu ambazo hata watawala wake wanaume pamoja na kumpenda sana walishindwa kumcapture.

Hii siri aliijua Leornado da vinc, katika picha original nyuma kabisa upande wa kulia wa monalisa utamwona Simba dume aliyeuawa na uso wake ukielekezwa juu angani huku meno yakiwa nje.

Mkononi mwake kuna picha ya mwanaume anainama kwa huzuni.

Pia aina za nguo na mkao wake ni wa kuwadis wanaume watawala wa wakati huo.

Bottom line ni kwamba ni mwanamke mzuri aliyependwa na kutamaniwa na wanaume wengi ila wengi walifail na kufa wakati wa kumfuatilia, yeye alikuwa anampenda mwanaume mmoja "baba yake tu" kwa wakati huo.
 
Most men died from their love to her, n mostly her smile.

Miaka ya 1400-1500's haikuwa kawaida kabisa mwanamke kumwangalia mwanaume straightly usoni lakini Mona Lisa alikuwa na ujasiri na hali ya kujiamini sana na kufanya hivyo.

Hiki kiliwafanya wanaume wengi kushangazwa naye na kumpenda sana.

Mfano kuna Mwanaume akijirusha katika nyumba ya ghorofa 4 na kuacha ujumbe kuwa kwa miaka minne alikuwa akiiangalia picha hiyo na kushindwa kuielewa na hata ingawa anampenda sana Mona Lisa hawezi kumpata hivyo ni bora ajiue. Pia wapo wengi waliojinyonga.

Lakini kikubwa, ni kwamba huyu mwanamke alikuwa na nguvu ambazo hata watawala wake wanaume pamoja na kumpenda sana walishindwa kumcapture.

Hii siri aliijua Leornado da vinc, katika picha original nyuma kabisa upande wa kulia wa monalisa utamwona Simba dume aliyeuawa na uso wake ukielekezwa juu angani huku meno yakiwa nje.

Mkononi mwake kuna picha ya mwanaume anainama kwa huzuni.

Pia aina za nguo na mkao wake ni wa kuwadis wanaume watawala wa wakati huo.

Bottom line ni kwamba ni mwanamke mzuri aliyependwa na kutamaniwa na wanaume wengi ila wengi walifail na kufa wakati wa kumfuatilia, yeye alikuwa anampenda mwanaume mmoja baba yake kwa wakati huo.
SWADAKTA
 
Sasa hayo yana uhusiano gani na Mona Lisa?

Huyu Mona Lisa ndiye akiyekuwa mpenzi wa Yesu?

Mkuu tujitaidi sana kusoma jumbe za watu na kuzielewa vyema....Monalisa alikuwa ni kama mpenzi wa mchoraji na katumia picha hii ni kuficha ujumbe flani.....yesu inasemekana alizaa na Maria Magdarena.....
 
Jina kamili la Leonardo lilikuwa "Leonardo di Ser Piero da Vinci", ambalo lina maana ya "Leonardo, mtoto wa Bwana Piero kutoka Vinci".
------------------------------------------------
Nimependa sana utambulisho wa aina hii, kwa nini haukuendelea hadi sasa, mfano:
Mimi ningeitwa "bdo, mtoto wa Bwana Mbuya kutoka Matepwende - Namtumbo".

Hapa ndio tungefahamiana ni akina nani wanaume wa Dar, Arachuga, Chato, ama Pemba.

Hahahahhahah
JF kuna watu! Hii comment imenivunja mbavu.
 
Mkuu tujitaidi sana kusoma jumbe za watu na kuzielewa vyema....Monalisa alikuwa ni kama mpenzi wa mchoraji na katumia picha hii ni kuficha ujumbe flani.....yesu inasemekana alizaa na Maria Magdarena.....
Sawa, Ninachopinga ni Uzushi na Uvumi ulioanzishwa 1600's kuwa Yesu aliwahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Maria magdalena na kuzaa watoto wawili.

Hili limepingwa tena kwa ushahidi mwingi tu, na aliyepinga ni mtu wa karibu na Leonardo da Vinc ila aliyeishi Jerusalem.

Huyu Bwana ni muitaliano aliyeandika kitabu kuhusu maisha ya Yesu.
 
Tupe jina la huyo mtu...na kitabu chenye huo ushahidi tuusome.
 
Wanasema hiyo picha kuna mwanaume ,huyo mwanaume ni nani???
 
Tupe jina la huyo mtu...na kitabu chenye huo ushahidi tuusome.
Mkuu hicho kitabu pamoja na ya hao Atheists waliocreate huo uzushi nilivisoma miaka ya nyuma kweli sikikumbuki tittle ila ntamkumbuka tu Author then nikujuze ukitafute.

Kiko clear n consistency inajibu maswali mengi sana kuhusiana na maisha ya Yesu V/S Atheists rumuors.
 
Ngoja niingie bondeni nikatafute ukweli wa haya mambo.
 
sasa naanza kuamini ule usemi ambao Yesu alimwambia mtume Petro " wewe ndio simon petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu, na wala milango kuzimu haitalitikisa......!

na kwanni aseme milango ya kuzimu, ni kwakuwa kila kukicha maadui wanaongezeka na kutengeneza hoja kuhusu ili kanisa, Kiuweli halitayumba wala kutikisika ndugu mwandishi, wapo watu maarufu na wapo kwenye kumbukumbu za kihistoria walishindwa..
fuatalia ilo hata ww utaona, tena ndani ya nafsi yangu nasema huyu Leonard da Vinci si dhani kama anaweza kuwazidi hao watu maarufu na mashuhur waliotajitahid na kwa uwezo wao kulitikisa kanisa mfno Dr Martin Luther

Huyu jamaa hakuwepo kipindi cha kuzaliwa na kufa yesu ametokea karne ya 15, huyu mtu alikuwa na kipaji cha imaginations tu, itakuwa alisoma habari za yesu then akafikiria sana (imagine) sura ya mwanamke aliyemzaa atakuwa yupoje, katika imagine ikaishia kuwaza monalisa (mwanamke mashuhuri na mzuri akamchora), kwasababu mambo mengi ya ukatoliki yalianzia Rome inaonesha walichukua hii picha kama representation ya bikira maria but in a real sense haina uhusiano.
 
Hata mm nashindwa kuelewa ni kipi hasa kinachoipa umaarufu hii picha
 
Mkuu, Bwana Yesu aliishi miaka takribani 1500 nyuma ya Da Vinci, sasa huyu jamaa alijuaje haya hata akaichora hii picha ya huyo Sarah. Na tujiulize pia kwanini mfalme wa France wakati huo aliitaka na kuinunua picha hii kwa bei ghali sana??
Hii picha ni popular tu kutokana na innovations zilizoonekana ni mpya wakati huo katika uwanja wa painting tu. Nothing special anyway. Huyo Jamaa aliimagine picha ya mwanamke mzuri akamchora na akaweza kuchorwa kwa kiwango cha juu, kununuliwa bei kubwa ni appreciation ya watu kutaka kuwa na kitu kipya cha kumbukumbu basi. Ila watu wakajikuta wana associate na vitu na kucreate story ambazo hazipo. Picha zote alizochora huyu jamaa zilichorwa kwa kusoma habari za nyuma na akavuta imagination akachora
 
Tuambie basi ni wakina nan?

Knights templar ni wale wapiganaji wa Kiulaya waliojificha chini ya sinagogi huko Nchi takatifu wakati wa vita ya msalaba.Hawa walikusanya mali zote na siri zote za dunia hii na ndiyo msngi wa utajiri na siri wazitumiazo wazungu kutawala dunia.Siri hizi zinalindwa na jamii za siri mojawapo ni prioru of zion.Kanisa katoliki hutaka kuzikamata siri hizi lakini linashindwa kwani hata ndani ya kanisa wapo wanachama wa jamii hizi.
 
very interesting..... natamani nijue zaidi.
 
Back
Top Bottom