Tuambie basi ni wakina nan?Mkuu knights templar pamoja na priori of zion unawajua? Walikua ni waabudu shetani? Na majukumu yao yalikua ni yapi?
Je unazijua cue-records? Zinahusiana na nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuambie basi ni wakina nan?Mkuu knights templar pamoja na priori of zion unawajua? Walikua ni waabudu shetani? Na majukumu yao yalikua ni yapi?
Je unazijua cue-records? Zinahusiana na nini?
Ahsante kwa jibu at least umeeleza monalisa ni nani wengine wanamsema mchoraji tuMona Lisa alikuwa mdada katika koo ya kifalme huko france kipindi hiko. Na according to da Vinci Ni kuwa huyu Dada alikuwa mrembo sana machoni pake. Ndio maana akaamua kumchora.
Da Vinci alikuwa haamini km kuna Mungu.
Na kipindi hiko Papa alikuwa anatawala like dunia nzima. So da Vinci akapigwa ban asiweke machapisho yake katika vitabu maana anapotosha watu. So akaamua kuandika maandishi ambayo kuyasoma lazima uweke kioo kwa juu then usome kwenye kioo. Ndio ikaja hiyo da Vinci code. Na ndio maana akatumia akili nyingi sana ili aweze kufikisha ujumbe wake na ili asijulikane kirahisi ndio maana picha zake zilibeba ujumbe wake ambao mpk utumie akili sana kuelewa ndio kama hiyo Mona Lisa pic.
Nikuongezee tu kidogo, monalisa alikuwa mdogo sana kuliko wengi wanavyodhani.Ahsante kwa jibu at least umeeleza monalisa ni nani wengine wanamsema mchoraji tu
Sababu ya hivo vifo vya wanaume ni nini?Nikuongezee tu kidogo, monalisa alikuwa mdogo sana kuliko wengi wanavyodhani.
Monalisa hakuwahi kuonesha hasira tangu kuzaliwa kwake
Monalisa alisababisha vifo vya wanaume wengi maarufu kabla ya kufikisha miaka 22.
Most men died from their love to her, n mostly her smile.Sababu ya hivo vifo vya wanaume ni nini?
Teh naona lulu anafata baada ya monalisa
SWADAKTAMost men died from their love to her, n mostly her smile.
Miaka ya 1400-1500's haikuwa kawaida kabisa mwanamke kumwangalia mwanaume straightly usoni lakini Mona Lisa alikuwa na ujasiri na hali ya kujiamini sana na kufanya hivyo.
Hiki kiliwafanya wanaume wengi kushangazwa naye na kumpenda sana.
Mfano kuna Mwanaume akijirusha katika nyumba ya ghorofa 4 na kuacha ujumbe kuwa kwa miaka minne alikuwa akiiangalia picha hiyo na kushindwa kuielewa na hata ingawa anampenda sana Mona Lisa hawezi kumpata hivyo ni bora ajiue. Pia wapo wengi waliojinyonga.
Lakini kikubwa, ni kwamba huyu mwanamke alikuwa na nguvu ambazo hata watawala wake wanaume pamoja na kumpenda sana walishindwa kumcapture.
Hii siri aliijua Leornado da vinc, katika picha original nyuma kabisa upande wa kulia wa monalisa utamwona Simba dume aliyeuawa na uso wake ukielekezwa juu angani huku meno yakiwa nje.
Mkononi mwake kuna picha ya mwanaume anainama kwa huzuni.
Pia aina za nguo na mkao wake ni wa kuwadis wanaume watawala wa wakati huo.
Bottom line ni kwamba ni mwanamke mzuri aliyependwa na kutamaniwa na wanaume wengi ila wengi walifail na kufa wakati wa kumfuatilia, yeye alikuwa anampenda mwanaume mmoja baba yake kwa wakati huo.
Sasa hayo yana uhusiano gani na Mona Lisa?
Huyu Mona Lisa ndiye akiyekuwa mpenzi wa Yesu?
JF kuna watu! Hii comment imenivunja mbavu.Jina kamili la Leonardo lilikuwa "Leonardo di Ser Piero da Vinci", ambalo lina maana ya "Leonardo, mtoto wa Bwana Piero kutoka Vinci".
------------------------------------------------
Nimependa sana utambulisho wa aina hii, kwa nini haukuendelea hadi sasa, mfano:
Mimi ningeitwa "bdo, mtoto wa Bwana Mbuya kutoka Matepwende - Namtumbo".
Hapa ndio tungefahamiana ni akina nani wanaume wa Dar, Arachuga, Chato, ama Pemba.
Hahahahhahah
Sawa, Ninachopinga ni Uzushi na Uvumi ulioanzishwa 1600's kuwa Yesu aliwahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Maria magdalena na kuzaa watoto wawili.Mkuu tujitaidi sana kusoma jumbe za watu na kuzielewa vyema....Monalisa alikuwa ni kama mpenzi wa mchoraji na katumia picha hii ni kuficha ujumbe flani.....yesu inasemekana alizaa na Maria Magdarena.....
Tupe jina la huyo mtu...na kitabu chenye huo ushahidi tuusome.Sawa, Ninachopinga ni Uzushi na Uvumi ulioanzishwa 1600's kuwa Yesu aliwahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Maria magdalena na kuzaa watoto wawili.
Hili limepingwa tena kwa ushahidi mwingi tu, na aliyepinga ni mtu wa karibu na Leonardo da Vinc ila aliyeishi Jerusalem.
Huyu Bwana ni muitaliano aliyeandika kitabu kuhusu maisha ya Yesu.
Wanasema hiyo picha kuna mwanaume ,huyo mwanaume ni nani???Sawa, Ninachopinga ni Uzushi na Uvumi ulioanzishwa 1600's kuwa Yesu aliwahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Maria magdalena na kuzaa watoto wawili.
Hili limepingwa tena kwa ushahidi mwingi tu, na aliyepinga ni mtu wa karibu na Leonardo da Vinc ila aliyeishi Jerusalem.
Huyu Bwana ni muitaliano aliyeandika kitabu kuhusu maisha ya Yesu.
Mkuu hicho kitabu pamoja na ya hao Atheists waliocreate huo uzushi nilivisoma miaka ya nyuma kweli sikikumbuki tittle ila ntamkumbuka tu Author then nikujuze ukitafute.Tupe jina la huyo mtu...na kitabu chenye huo ushahidi tuusome.
View attachment 425984
Picha hii imechorwa na msanii Leonardo da Vinci, hilo tu ndilo nijualo. Lakini nasikia kuna mengi nyuma ya hii picha, ujumbe uliofichika, umaarufu wake hadi leo ni nini haswa?? Ilikua ngumu sana kuichora au?
Wajuzi naombeni msaada
sasa naanza kuamini ule usemi ambao Yesu alimwambia mtume Petro " wewe ndio simon petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu, na wala milango kuzimu haitalitikisa......!
na kwanni aseme milango ya kuzimu, ni kwakuwa kila kukicha maadui wanaongezeka na kutengeneza hoja kuhusu ili kanisa, Kiuweli halitayumba wala kutikisika ndugu mwandishi, wapo watu maarufu na wapo kwenye kumbukumbu za kihistoria walishindwa..
fuatalia ilo hata ww utaona, tena ndani ya nafsi yangu nasema huyu Leonard da Vinci si dhani kama anaweza kuwazidi hao watu maarufu na mashuhur waliotajitahid na kwa uwezo wao kulitikisa kanisa mfno Dr Martin Luther
Hii picha ni popular tu kutokana na innovations zilizoonekana ni mpya wakati huo katika uwanja wa painting tu. Nothing special anyway. Huyo Jamaa aliimagine picha ya mwanamke mzuri akamchora na akaweza kuchorwa kwa kiwango cha juu, kununuliwa bei kubwa ni appreciation ya watu kutaka kuwa na kitu kipya cha kumbukumbu basi. Ila watu wakajikuta wana associate na vitu na kucreate story ambazo hazipo. Picha zote alizochora huyu jamaa zilichorwa kwa kusoma habari za nyuma na akavuta imagination akachoraMkuu, Bwana Yesu aliishi miaka takribani 1500 nyuma ya Da Vinci, sasa huyu jamaa alijuaje haya hata akaichora hii picha ya huyo Sarah. Na tujiulize pia kwanini mfalme wa France wakati huo aliitaka na kuinunua picha hii kwa bei ghali sana??
Tuambie basi ni wakina nan?
very interesting..... natamani nijue zaidi.Knights templar ni wale wapiganaji wa Kiulaya waliojificha chini ya sinagogi huko Nchi takatifu wakati wa vita ya msalaba.Hawa walikusanya mali zote na siri zote za dunia hii na ndiyo msngi wa utajiri na siri wazitumiazo wazungu kutawala dunia.Siri hizi zinalindwa na jamii za siri mojawapo ni prioru of zion.Kanisa katoliki hutaka kuzikamata siri hizi lakini linashindwa kwani hata ndani ya kanisa wapo wanachama wa jamii hizi.