lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,475
Nawasalim kwa jina la TZ.
Naomba kufahamishwa jinsi ya kuipika,ama kuiandaa kwa ajili ya kula nyama ya kopo.
Ninapoenda supermarket hua naiona sana nyama hii ya kopo,natamani kuinunua,lkn sijui kuiandaa kwa ajili ya kula,ama kuipika maana najua tayari hua imekwisha kupikwa.
Je ninaiandaaje kwa ajili ya matumizi?