Haya mambo Birthday, kitchen party Valentine nk. hayakuwepo kwa waafrika sasa kumekucha...Ni utaratibu mpya ndio umeanza, inawezekana na wengine wakaiga
Upande mmoja Ni fursa ya kupiga pesa ya Nchi na kwa upande wa pili ni kuendeleza unafique na uzandiki wa wanasiasa wetu.Kufuatia maandalizi ya maadhimisho ya miaka 100 ya kuzaliwa kwa baba wa taifa la tz, hayati mwalimu Julius Kambarage Nyerere, naomba kufahamishwa kama kumewahi kuwa na desturi au utamaduni kwa jamii za kiafrika; kusherehekea siku za kuzaliwa kwa viongozi waliotangulia mbele za haki au hata kwa ndg na jamaa!
Je, sherehe hizo bajeti yake inatoka kwenye fungu gani? Zina umuhimu gani?
Huoni kwamba hiki ni kitu special? Baba wa taifa miaka mia ni kitu special.Kufuatia maandalizi ya maadhimisho ya miaka 100 ya kuzaliwa kwa baba wa taifa la tz, hayati mwalimu Julius Kambarage Nyerere, naomba kufahamishwa kama kumewahi kuwa na desturi au utamaduni kwa jamii za kiafrika; kusherehekea siku za kuzaliwa kwa viongozi waliotangulia mbele za haki au hata kwa ndg na jamaa!
Je, sherehe hizo bajeti yake inatoka kwenye fungu gani? Zina umuhimu gani?
Nadhani ni utamaduni wa huko ughaibuni kama dini za sasa zilivyofanya tukaziiga,hivyo pia hata bethidei nazo hivyohivyo.Tupo kizungu zaidi.
Ngoja na Muasisi wetu naye afaidi hela za tozo na zile za IMF. Naye anastahili kula kwa urefu wa kamba yake hata kama alishatutoka kitambo.Kufuatia maandalizi ya maadhimisho ya miaka 100 ya kuzaliwa kwa baba wa taifa la tz, hayati mwalimu Julius Kambarage Nyerere, naomba kufahamishwa kama kumewahi kuwa na desturi au utamaduni kwa jamii za kiafrika; kusherehekea siku za kuzaliwa kwa viongozi waliotangulia mbele za haki au hata kwa ndg na jamaa!
Je, sherehe hizo bajeti yake inatoka kwenye fungu gani? Zina umuhimu gani?
Kazi kwelikweliNgoja na Muasisi wetu naye afaidi hela za tozo na zile za IMF. Naye anastahili kula kwa urefu wa kamba yake hata kama alishatutoka kitambo.
Wewe huoni yule jamaa aliyetokwa na jasho kwenye jua la saa 8 mchana wakati akienda kuomba msamaha baada ya kudukuliwa; leo hii anafanya utalii wa ndani nchi nzima kwa kutumia chopa ya jeshi?
Suala sio kuwepo au kutokuwepo mkuu.Haya mambo Birthday, kitchen party Valentine nk. hayakuwepo kwa waafrika sasa kumekucha...