Naomba kufahamishwa vitasa vizuri vya kufunga katika milango

luangalila

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2014
Posts
6,346
Reaction score
6,928
Wajumbe mnaofahamu Vitasa vizuri vya kifunga katika milango au pia kama kuna mtu annae fahamu duka wanalo uza vitasa vizuri vya milangoni.
 
Ukitaka kila aina ya kifungio(kufuli,kitasa)nenda pale ITV Mwenge kuna duka la ASA ABLOY.
 
Wajumbe mnaofahamu Vitasa vizuri vya kifunga katika milango au pia kama kuna mtu annae fahamu duka wanalo uza vitasa vizuri vya milangoni.
Nenda ITV pale pale kituo cha kwenda Posta kuna duka la vitasa. Ila sio vitasa vya 30,000/-
 
Nimelisoma like duka pale vitasa level 2 wana uzaa 40'000/=Tsh yaan hapo ndio umepata kitasa copy 😂😂😂 dunia ktk uzania wake hauja kaa sawa kabisaa
 
Back
Top Bottom