luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Wajumbe mnaofahamu Vitasa vizuri vya kifunga katika milango au pia kama kuna mtu annae fahamu duka wanalo uza vitasa vizuri vya milangoni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo sit ya mbele kabisa nasubiriWaajumbe mnaofahamu Vitasa vizuri vya kifunga katika milango au pia kama kuna mtu annae fahamu duka wanalo uza vitasa vizuri vya milangoni.
Nime jipendekeza kwa Hafla level 3Obama vya alminium ndio vitasa bora kwa watu wa uchumi wa kati.
Vinaunza shilingi ngapi?Obama vya alminium ndio vitasa bora kwa watu wa uchumi wa kati.
18000 kama sitakosea
Natumia Guli og kwetu 30,000/= vinataka kufanana na Union
Sent from my Infinix X652 using JamiiForums mobile app
Nenda ITV pale pale kituo cha kwenda Posta kuna duka la vitasa. Ila sio vitasa vya 30,000/-Wajumbe mnaofahamu Vitasa vizuri vya kifunga katika milango au pia kama kuna mtu annae fahamu duka wanalo uza vitasa vizuri vya milangoni.
Nimelisoma like duka pale vitasa level 2 wana uzaa 40'000/=Tsh yaan hapo ndio umepata kitasa copy 😂😂😂 dunia ktk uzania wake hauja kaa sawa kabisaaNenda ITV pale pale kituo cha kwenda Posta kuna duka la vitasa. Ila sio vitasa vya 30,000/-
Guli ni mashine tuu mipini hamnabkitu kama mlango unakwaruza chini hata wiki havifikiNatumia Guli og kwetu 30,000/= vinataka kufanana na Union
Sent from my Infinix X652 using JamiiForums mobile app
Kama una hela nunua orlando hutojutia .Wajumbe mnaofahamu Vitasa vizuri vya kifunga katika milango au pia kama kuna mtu annae fahamu duka wanalo uza vitasa vizuri vya milangoni.
Okay mkuu asante kwa remark yako, japo nimechukua Hafla next time nitajaribu kuvi chekinivyo tajwaKama una hela nunua orlando hutojutia .
Au renz,bello,king, au spider ile 3 level
Sent using Jamii Forums mobile app
Alafu siku izi Union nasikia ni famba tuKama una hela nunua orlando hutojutia .
Au renz,bello,king, au spider ile 3 level
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora mara mia ukanunua obama kuliko hiyo union.Alafu siku izi Union nasikia ni famba tu
Ok kila la heriOkay mkuu asante kwa remark yako, japo nimechukua Hafla next time nitajaribu kuvi chekinivyo tajwa
Safi sana mkuu nimekusoma,kwa maelezo ya kitalaamBora mara mia ukanunua obama kuliko hiyo union.
Union imara ni ile 3level nayo kuna namba moja ya made in UAE na made in china
Sent using Jamii Forums mobile app