Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Si vibaya na wala haijawahi kuwa kosa kisheria kufahamu wasifu wa Mtumishi wa Umma, hasa yule anayegusa maslahi ya watu wengi kwa kuhakikisha haki zao zinapatikana.
Binafsi namfahamu kidogo tu kama Hakimu wa Mahakama ya Hakimu Mkaazi Kisutu, ameshiriki kwenye kuamua kesi kadhaa za wanasiasa na raia wengine.
Naomba sana kwa mwenye kufahamu wasifu wa Mh huyu atuwekee hapa, namaanisha Kiwango chake cha Elimu, shule alizosoma, alisoma na akina nani, uadilifu na uaminifu wake, mahali pengine alipofanya kazi, na aliondokaje, hukumu zake zilizopita na za karibuni, kwa ujumla ningependa kumfahamu kuhusu yote mnayoyafahamu juu yake.
Naomba kuwasilisha .