Alianzia ukarani akaona mahakimu wanapiga hela. Akasomea uhakimu wa lower courts akaona bado mshiko Ni mfupi halafu kesi anazopewa Ni ndogo ndogo akasoma mlimani akawa hakimu mkazi na kuhamishiwa Dar. The rest is history.Thomas Simba ni Mnyasa toka Mbamba Bay Ila amekulia Magereza Mbeya mpaka anapata elimu ya msingi.
Alianza kazi kama Karani wa Mahakama na kisha akasoma Primary Court Certificate na Diploma pale IDM Mzumbe na hatimaye LLB pale UDSM.
Kikazi kaanzia chini sana kwenye Ukarani, Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo hadi kuwa Principal Resident Magistrate hapo Kisutu. Uzoefu wake siyo wa kutiliwa mashaka.
Kabla ya Mwendazake Hakimu Thomas Simba alikuwa ni mmoja wa Mahakimu "sober" wanalinda heshima ya Judiciary nchini kwa kutoa maamuzi bila kupepesa macho.
Lakini mwaka 2018 aliingia kwenye 18 ya Mwendazake pamoja na Michael Mteite yule aliyemhukumu Sugu Mbeya na Wilbard Mashauri aliyewafutia dhamana Mbowe na Esther Matiku.
Kwanza akaongezewa miaka ya kustaafu 2, na kisha akaahidiwa UJAJI. Bahati mbaya kwake Mwendazake amekufa kabla hajampa hicho cheo.
Kati ya hawa akina Mashauri na Simba kulikuwa Jaji Kiongozi Eleazar Feleshi ndiye alikuwa anaandika zile hukumu. Hawankazi yao ilikuwa kusikikikiza ushahidi na kusoma hukumu tu.
Ila duniani huwezi kuinjoi kwa hela ya dhulma.