Naomba kufahamishwa wasifu wa Mhe. Thomas Simba, Hakimu wa Mahakama ya Kisutu

Alianzia ukarani akaona mahakimu wanapiga hela. Akasomea uhakimu wa lower courts akaona bado mshiko Ni mfupi halafu kesi anazopewa Ni ndogo ndogo akasoma mlimani akawa hakimu mkazi na kuhamishiwa Dar. The rest is history.
Ila duniani huwezi kuinjoi kwa hela ya dhulma.
 
Tunakushukuru sana kwa maelezo ya kutukuka mno !
 
Aiseeee !!!
 
Je
Je amewahi kuwa Mtwara miaka ya 2005 -7?
 
Kama ni yeye basi nchi hii tuna hasara kubwa kwani huyo ni mlevi kupindukia!
Kwa kweli Simba ni Mlevi mbwa !! Sijui kwa nini hata Judicial Service Commission haijamchukulia hatua. Ulevi unamuathiri sana kazi zake. Karibu kila Jumatatu amaamka na HANGOVER na inamfanya awe na low performance.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…