Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ok ambayo sio used tanzania inaweza kuwa bei gani mkuu
Xl 125cc inacheza kwenye m10 mpya.. 250 itakuwa juu ya hapo.Wakuu naomba kujua bei ya hii pikipiki ikiwa bado mpya kabsa kwa hapa Tanzania.
Bei yake unanunulia rav 4 na chenji ya wese inabakikw
kwann nikimbie kiongozi
nimesha iendesha bado sana hajafikia hii mashine mkuuXR 250 hayo matoleo ya zamani kwa Sasa Honda wanazalisha CRF Kama mbadala wa uzao wa XR.
Kama unataka pikipiki ya kisasa chukua Honda CRF 250 Zina toleo la Racing na kawaida. Pia Zina mfumo wa fuel injection, electric starter na vitu kibao. Bei kwa mpya ni Kama USD 9000-11,000 bila wazee wa TRA kuitia miguu.
Labda used, hakuna sehemu hapa Tanzania utapata brand new Honda XR.
When brand new bei ni sawa na Toyota Rav 4
Nunua gari tu mapikipiki yatakua bure mkuu Tafuta Rav 4 nzuri tu uwe unaenjoy
Mkuu CRF 250/450L sio nyepesi Kama unavyosema. Itakuwa ulitumia Racing edition ndio imepunguzwa uzito kuanzia frame na tyres inatumia za kawaida.nimesha iendesha bado sana hajafikia hii mashine mkuu
stelingi yake nyepesi mno ukiipiga gia sawasawa ina hama