MBUZI MWENYE BUSARA
Senior Member
- Nov 24, 2019
- 143
- 155
Salama mkuu.Wakuu habari za mwaka huu wa 2022!
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Nimeshajenga msingi tu.
Nyumba ina vyumba vitatu kimoja master, choo Cha public kipo ndani pia, sebule, jiko, stoo, dining, veranda mbili nyuma na mbele na pia kuna gharama za kuchimba chemba ya choo na kujenga fensi/ukuta.
Naomba kufahamu makadirio ya gharama zote hadi namaliza kila kitu. Mkinipa mchanganuo kwa hatua za ujenzi mfano boma, mbao, bati n.k itapendeza sana ili nijue najipangaje.
Kiwanja kipo mkoa wa Manyara wilaya ya Hanang'
Mkuu naweza kuangalia ramani yako nikapata pakuanzia .......unitumie I meanWakuu habari za mwaka huu wa 2022!
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Nimeshajenga msingi tu.
Nyumba ina vyumba vitatu kimoja master, choo Cha public kipo ndani pia, sebule, jiko, stoo, dining, veranda mbili nyuma na mbele na pia kuna gharama za kuchimba chemba ya choo na kujenga fensi/ukuta.
Naomba kufahamu makadirio ya gharama zote hadi namaliza kila kitu. Mkinipa mchanganuo kwa hatua za ujenzi mfano boma, mbao, bati n.k itapendeza sana ili nijue najipangaje.
Kiwanja kipo mkoa wa Manyara wilaya ya Hanang'
WEKA floor plan yenye Vipimo upewe msaada lakini kujenga kwa nadharia sidhani kama ni sahihiWakuu habari za mwaka huu wa 2022!