Naomba kufahamu gharama za kujenga hii nyumba

MBUZI MWENYE BUSARA

Senior Member
Joined
Nov 24, 2019
Posts
143
Reaction score
155
Wakuu habari za mwaka huu wa 2022!

Niende moja kwa moja kwenye mada.

Nimeshajenga msingi tu.

Nyumba ina vyumba vitatu kimoja master, choo Cha public kipo ndani pia, sebule, jiko, stoo, dining, veranda mbili nyuma na mbele na pia kuna gharama za kuchimba chemba ya choo na kujenga fensi/ukuta.

Naomba kufahamu makadirio ya gharama zote hadi namaliza kila kitu. Mkinipa mchanganuo kwa hatua za ujenzi mfano boma, mbao, bati n.k itapendeza sana ili nijue najipangaje.

Kiwanja kipo mkoa wa Manyara wilaya ya Hanang'
 
Anza na ulichonacho kuna gharama ambazo unakatana nazo site.
Au mtafute Qs umpeleke site akupe Hesabu kamili.
 
Wakuu habari za mwaka huu wa 2022!

Niende moja kwa moja kwenye mada.

Nimeshajenga msingi tu.

Nyumba ina vyumba vitatu kimoja master, choo Cha public kipo ndani pia, sebule, jiko, stoo, dining, veranda mbili nyuma na mbele na pia kuna gharama za kuchimba chemba ya choo na kujenga fensi/ukuta.

Naomba kufahamu makadirio ya gharama zote hadi namaliza kila kitu. Mkinipa mchanganuo kwa hatua za ujenzi mfano boma, mbao, bati n.k itapendeza sana ili nijue najipangaje.

Kiwanja kipo mkoa wa Manyara wilaya ya Hanang'
Salama mkuu.
Hongera pia kwa 2022

Naona mwaka unauanza kwa malengo makubwa.

Kimsingi nyumba yako sisi UVIMO CIVIL GROUP tunaweza kutathimini kiuzoefu kabisa kabla ya kujenga, ila tutahitaji vipimo halisi punde kabla ya ujenzi.

kikubwa naomba nipate taarifa mbili tatu.

Na ripoti yako itafungwa namna hii.

A-Boma
1-Matirio yote =✓
2-Matirio saidizi =✓
3-Ufundi=✓
Jumla =✓

B-Kufunga Lenta
1-Matirio yote =✓
2-Matirio saidizi =✓
3-Ufundi=✓
Jumla =✓

C- Kupaua
1-Matirio yote =✓
2-Matirio saidizi =✓
3-Ufundi=✓
Jumla =✓

JUMLA KUU=∆✓

D-Uratibu wa timu na usalama
Hii inakupa sahihi ya kupangilia muda wako labda likizo n.k
√dadi ya siku
√dadi ya mafundi na wasaidizi
√Ripoti za kila siku
√Kushauriana kila siku baada ya kazi
√Kama site iko mbali, Uvimo tunalinda site

Tuwasialiane
0629361896 -Kupiga
0753927572 -WhatsApp & Kupiga
View attachment 2076353View attachment 2076352View attachment 2076354
 
Wakuu habari za mwaka huu wa 2022!

Niende moja kwa moja kwenye mada.

Nimeshajenga msingi tu.

Nyumba ina vyumba vitatu kimoja master, choo Cha public kipo ndani pia, sebule, jiko, stoo, dining, veranda mbili nyuma na mbele na pia kuna gharama za kuchimba chemba ya choo na kujenga fensi/ukuta.

Naomba kufahamu makadirio ya gharama zote hadi namaliza kila kitu. Mkinipa mchanganuo kwa hatua za ujenzi mfano boma, mbao, bati n.k itapendeza sana ili nijue najipangaje.

Kiwanja kipo mkoa wa Manyara wilaya ya Hanang'
Mkuu naweza kuangalia ramani yako nikapata pakuanzia .......unitumie I mean
 
Wakuu habari za mwaka huu wa 2022!

Niende moja kwa moja kwenye mada.

Nimeshajenga msingi tu.

Nyumba ina vyumba vitatu kimoja master, choo Cha public kipo ndani pia, sebule, jiko, stoo, dining, veranda mbili nyuma na mbele na pia kuna gharama za kuchimba chemba ya choo na kujenga fensi/ukuta.

Naomba kufahamu makadirio ya gharama zote hadi namaliza kila kitu. Mkinipa mchanganuo kwa hatua za ujenzi mfano boma, mbao, bati n.k itapendeza sana ili nijue najipangaje.

Kiwanja kipo mkoa wa Manyara wilaya ya Hanang'
WEKA floor plan yenye Vipimo upewe msaada lakini kujenga kwa nadharia sidhani kama ni sahihi
 
Back
Top Bottom