Deeboyfrexh
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 3,417
- 5,579
No breki hazikufeli, kawaida gari manual kama hio canter ikiwa gia namba 5 na mwendo wa highway kusimama ni ngumu yani unatakiwa upangue gears chap ndio ukate speed, tofauti na automatics ukikata speed tu kwa breki gear zinavuka zenyewe haraka na gari inasimama hata kama ulikuwa 150km/h!Huyu dereva wa hii truck
Ni kama alikuwa amechoka
Kingine naona kama breki zilifeli
Ova
Vijana stukeni. Mnatafuta sifa za kijinga. Mwishowe Ni ulemavu, kifo na kuacha majonzi kwa familia (hasa watoto)Hii haiko relevant! Walioko kwenye gari ni wamepanda Warbus. Hawa wengine wako kwenye gari kama noah hivi
Niliiona mpaka mwisho ila nilipoiriwaindi wakapona, kweli mungu mkuu.Kuna video inatrend jamaa wawili wako kwenye gari ndogo wanajirekodi video. Kufumba na kufumbua gari ya mbele yao inafunga break ghafla wanaipiga kwa nyumba hawaja kaa sawa dreva anataka kuitoa pembeni wanakutana na Basi uso kwa uso na wote wananyamaza kimya kwenye video. Je wamekufa?
Soma ukisha kunywa uji asubuhi utaelewa mkuu.Sijakuelewa mkuu fafanua.
Habari yako inaanzia angani na inaishia angani, haielezi hiyo video uliiona wapi, lini na tukio ni la wapi.Naona unaleta joke Sasa uliiona wapi live au na je uliriwaindi ongea Kama mwanaume uliyebalahe .
[emoji38][emoji38][emoji38]Ukiangalia Tamthilia ya Mwantumu Dstv kuna Joti wawili, mmoja mzee mmoja kijana.
Kazi kwako.
Itakua simu iliokotwakama walikufa nani ali upload online?
Hawa wameenda wote😭😭😭Ngoja nkupandishie uwaone na hawa..
Walichokuwa wanakitafuta wameligeti
Ova
Kenya hii duuuhNgoja nkupandishie uwaone na hawa..
Walichokuwa wanakitafuta wameligeti
Ova
Tanzania kuna shida moja. Watumiaji wa soacial media wengi kazi yao ni ku-post au ku-share picha au clip ambazo hazina maelezo yoyote. Clip kama hii kupata ukweli wake inaweza kuwa vigumu kabisa.Wewe ndio juma kilaza umeshindwa kuelewa kwamba nimeuliza swali.
wewe kama hujui inabidi ukae pembeni kuna ambao wameiona watajibuTanzania kuna shida moja. Watumiaji wa soacial media wengi kazi yao ni ku-post au ku-share picha au clip ambazo hazina maelezo yoyote. Clip kama hii kupata ukweli wake inaweza kuwa vigumu kabisa.
Ndiyo maana nikasema ni vigumu, na wakati mwingine jibu utakalopata ni uongo unaotokana na uvumi. Utasikia ''nasikia walikufa wote''. Mwingine anasema ''mbona wala hawakuumia!''. NB: Fikiria kabla ya kubwabwaja. Hii ni forum na kila mtu anatoa mchango wake ili kupanua mjadala na mawazo. Kutojua kilichowapata hakufanyi mtu asichangie. Mbona wewe umechangia na huna jibu?wewe kama hujui inabidi ukae pembeni kuna ambao wameiona watajibu