Baba Genovivah
JF-Expert Member
- Sep 1, 2013
- 756
- 249
graduate anafny kaz secta ipi mkuu!nipo udsm napiga hiyo kozi ni ya ukweli sana karibu udsm kijana
nipo udsm napiga hiyo kozi ni ya ukweli sana karibu udsm kijana
graduate anafny kaz secta ipi mkuu!
Wewe sidhani kama kweli unasoma Kemia, na kama ni kweli unasoma basi hautafika mbali, kwa maana unashindwa hata kitu rahisi kama Kusoma na kuelewa Hoja, utawezaje kuelewa Kemia? Umeelewa Mleta Mada anataka nini? Na wewe umemjibu nini?
mkuu umeshindwa kuelewa nini hapo hiyo ni summary tu na inaeleweka kabisa sasa hapa nakua na wasiwasi na uelewa wako
taasisi mbalimbali za utafiti eg national institute of medical research (NIMR) taasisi za viwango eg TBS, and TFDA viwanda vya vinywaji na chakula, pharmaceutical industries, chemical labs,mahosipitalini migodini,,,,,,,hakuna maisha bila chemistry mind you every thing has got chemistry and am proud to be a chemist
Unaweza kupata kaz yeyote ili kulingana na hiyo kozi lia kazi zitakua za uhakika zaidi ukipostgraduate. Hapa tz kwa medicine watakutaka ukaanze tena undergraduate. kumbuka pia utakua kwenye competition na watu wa Bsc in chemicals and processing eng na watu wa Bsc in lab technology.Ushaur wang piga hiyo umalize then usichelewe kupostgraduate make utajikuta umekua mwalimu wa sec bila kutegemea.
Ualimu unakuhusu ukishagraduate,hio course kibongobongo hailipi kabisaa,kuna chalii yangu anasota amemaliza hapa usdm 2013 mpaka now ameamua kukamata chaki,na amemaliza vizur na GPA ya kutosha

We jamaa mi hua sikuelewi kabisa, kila course hapa TZ una ndugu yako aliyemaliza... what a toss up, dude??
Kuna tutor kabakizwa hapa UDSM, alisoma hiyo chemistry 2013, tulikua tunapiga nae story za maisha...alitueleza vingi, profoundly a bright future for chemists.
Jamaa ambao alimaliza nao 2013, 80% waliajiriwa direct wuzara ya afya na ustawi wa jamii, wengine wakaenda zenufa pharmaceutical na wachache wapo afren TZ.
Jamaa alikua anajilaumu kubaki chuo, hasa akicheki post walizopata wenzao...
It's delight for him, now that he's won BG sponsorship to undertake Master's degree in oil & gas, Canada.
Cheza mbali na course za CoNAS + CoET

usdm ndo chuo gani! na wasiwasi na ww