We jamaa mi hua sikuelewi kabisa, kila course hapa TZ una ndugu yako aliyemaliza... what a toss up, dude??
Kuna tutor kabakizwa hapa UDSM, alisoma hiyo chemistry 2013, tulikua tunapiga nae story za maisha...alitueleza vingi, profoundly a bright future for chemists.
Jamaa ambao alimaliza nao 2013, 80% waliajiriwa direct wuzara ya afya na ustawi wa jamii, wengine wakaenda zenufa pharmaceutical na wachache wapo afren TZ.
Jamaa alikua anajilaumu kubaki chuo, hasa akicheki post walizopata wenzao...
It's delight for him, now that he's won BG sponsorship to undertake Master's degree in oil & gas, Canada.
Cheza mbali na course za CoNAS + CoET