Hasara ni kwamba haitambuliki kidini, hasa dini ya Kiislamu.Mnaenda na huyo mchumba wako na kila mmoja na mpambe wake mnaandikisha,baadae wanaweka tangazo ubaoni wa kusudio lenu...
Isipotambulika kidini kuna tatizo gani?Hasara ni kwamba haitambuliki kidini, hasa dini ya Kiislamu.
Kama sio mshika dini tatizo hakunaIsipotambulika kidini kuna tatizo gani?
Ok, nimekuelewa.Kama sio mshika dini tatizo hakuna
Lakini kama ni mshika dini kuna baadhi ya mambo hutashiriki,ama kushiriki kwa ukosaji kama kushiriki sakramenti ya meza ya bwana na hata katika mifungo ya ramadhan na kwaresma itakuwa ni ngumu kwa ndoa ya aina hiyo kushiriki
Ahsante Sana Mkuu, na vipi kuhusu gharamaMnaenda na huyo mchumba wako na kila mmoja na mpambe wake mnaandikisha,baadae wanaweka tangazo ubaoni wa kusudio lenu.
Na ndoa itafungwa baada ya siku 21kama kuna pingamizi kwa yoyoyte kuhusu ndoa hiyo.Faida ni kwamba inatambulika kiserikali na baadhi ya madhehebu pia ni uthibitisho wa kwamba ni mume na mke.Hasara ni kwamba mkuachana lazima mgawane mali!
Ok, na vipi kuhusu ndoa ya kikristo huwa hawagawani mali wakiachana?Mnaenda na huyo mchumba wako na kila mmoja na mpambe wake mnaandikisha,baadae wanaweka tangazo ubaoni wa kusudio lenu.
Na ndoa itafungwa baada ya siku 21kama kuna pingamizi kwa yoyoyte kuhusu ndoa hiyo.Faida ni kwamba inatambulika kiserikali na baadhi ya madhehebu pia ni uthibitisho wa kwamba ni mume na mke.Hasara ni kwamba mkuachana lazima mgawane mali!
Zamani ilikuwa book2na mia5kwa Sasa unaweza kuwa 10elfu.Ahsante Sana Mkuu, na vipi kuhusu gharama
Kwa uislamu inatambulika kwa sababu ndoa inafungishwa kwa kauli sio utukufu wa mfungisha ndoa nina maana mtu yeyote anaweza kufungisha ndoa kikubwa awe na akili timamu .Kama sio mshika dini tatizo hakuna
Lakini kama ni mshika dini kuna baadhi ya mambo hutashiriki,ama kushiriki kwa ukosaji kama kushiriki sakramenti ya meza ya bwana na hata katika mifungo ya ramadhan na kwaresma itakuwa ni ngumu kwa ndoa ya aina hiyo kushiriki
Nenda ofisi ya mkuu wa wilaya upate muongozo.Wakuu habarini za jioni!
Nafikiria kuanza mchakato wa kufunga ndoa na huyu mchumba wangu wa tangu vidudu Hadi Sasa, kutokana na Mambo kadhaa ambayo yapo nje ya uwezo wetu, naomba kufahamu utaratibu wa kufunga ndoa ya serikali upoje? Nikiwa namaanisha process za kufunga ndoa ya kiserikali upoje, na Hatua zipi nifuate Hadi kukamilika kwake.
Pia faida au hasara za ndoa ya aina hii. Mawazo yenu ni muhimu wakuu
Ahsanteni!