mtwa mkulu JF-Expert Member Joined Sep 11, 2013 Posts 8,586 Reaction score 11,227 Jun 1, 2022 #1 Wakuu heshima kwenu. Naomba kufahamu kuhusiana na uchaguzi bunge la Afrika Mashariki, mwaka wa uchaguzi ni lini? Je, kuna utaratibu gani kuchukua fomu mpaka kugombea? Natanguliza shukrani.
Wakuu heshima kwenu. Naomba kufahamu kuhusiana na uchaguzi bunge la Afrika Mashariki, mwaka wa uchaguzi ni lini? Je, kuna utaratibu gani kuchukua fomu mpaka kugombea? Natanguliza shukrani.