Naomba kufahamu kuhusu Ushirikina (Uchawi) Mitishamba

Ni nani alipeleka ujumbe wa mimba ya Yesu kwa Bikira Maria?
  1. In the sixth month, God sent the angel Gabriel to Nazareth, a town in Galilee, to a virgin pledged to be married to a man named Joseph, a descendant of David. The virgin's name was Mary. The angel went to her and said, 'Greetings, you who are highly favoured!
 
Hivi ni kwanini sisi waafrika na haswa watanzania tunaamini sana ushirikina.na ni kweli hizi nguvu za giza tunazipa nafasi kubwa katika maisha yetu huko maofisini.michezoni ,majumbani.utasikia na weka kinga watu wazinidhuru.kwako wewe unasemaje kuhusu hoja hii
 
Kwa ufahamu wangu, Hii inatokana na asili hasa mila na desturi zilizotuzunguka. Kama unaweza kuvuta kumbukumbu vizuri enzi za vita vya maji maji watu waliamini kuwa dawa inaweza kubadili risasi kuwa maji, kwa kuwa wengi tumezaliwa na kukulia katika mazingira hayo bado imani hizo hujemgeka ndani ya nafsi zetu na imekua ni sedtiri kirithisha vizazi na vizazi
 
yaani hata mtu ambae amenda shule bado anasadiki ushirikina.hii ni mental slavery mbaya sana
 
yaani hata mtu ambae amenda shule bado anasadiki ushirikina.hii ni mental slavery mbaya sana



Hivi vitu vikukute ndo utajua hali halisi,, usiombe yakukute vitabu, vyeti utaweka pembeni ndugu yang
 

Kumbe ukiitakidi Simba atakudhuru ushakua mshirikina eee?

Au ukiitakidi sumu inaua utakua mshirikina ee?
 

Mkuu, kama hayajakukuta huwezi kuyajua wala kuyaamini. Mkuu ww ni dini gani labda mana dini zote zimezungumzia uchawi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…