Naomba kufahamu Madhara ya kupeana talaka baada ya ndoa Kuvunjika

Yaani hukupata hatia kumcheat unakuja kupata hatia sasa? Acha kutupanga mkuu wacuba tushaelewa
 
Labda demu wa kizungu...hizi kuku zetu za kienyeji utajua hujui.
 
Kuwa mtu huru. Usiwe miongoni mwa poverty mentality.

Ilinitokea tukaachana hakudai kwa kuwa yeye alikuwa ni chanzo cha ufuska. Lkn baada ya muda nilimwambia niramgengea kwa maslahi ya wanetu.

Kumbuka wanawake si ujumbe kilichotimia na kuweza kuitwa binadamu. Hivyo usishindane nae. Hatukuju duniani kuhodhi mali, bali kutoa huduma (social responsibility) kwa wenye uhitaji.

Ikiwemo kuwahudumia wanawake, wazee na watoto
 
Wewe nae itakua umekolea kwa mzungu tu.
 
Umeonaee anatupanga tu hana lolote
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Yaani ukimsoma inafikirisha sana, wamegegedana na huyo mzungu hajawahi kwenda kumwambia mkewe ila sasa hivi baada ya ujauzito anahisi hatia really!!! [emoji15] [emoji15] Kwakweli anatupanga pakubwa huyu.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Yaani ukimsoma inafikirisha sana, wamegegedana na huyo mzungu hajawahi kwenda kumwambia mkewe ila sasa hivi baada ya ujauzito anahisi hatia really!!! [emoji15] [emoji15] Kwakweli anatupanga pakubwa huyu.
Ni mshangao wa herufi kubwa
 
Reactions: nao
 

Attachments

  • EA3AF651-5FC9-4A08-84EF-8C03AE481583.png
    339.5 KB · Views: 9
Dada wanaume wanavifua vyepesi Sana,hawana uwezo wa kubeba mazito kifuani ...niamini
 
Ila brother inapitia majuto makubwa Sana ...hope huu msala ukipita Kuna kitu utakuwa umejifunza....Huyo ndio mwalimu ulimwengu ni mkuda Sana akikubananisha kwenye 18,lazima akupe funzo.....But we kaza tu ndio ndio mishale hiyo kuelekea uzeeni
 
Nichek inbox nikupe namba za achraf hakim atakusaidia
 
Huo ujinga tunawaambia kataa ndoa kataa kuoa, Ivunje hio ndoa fasta unasubiria nini.
 
katika mahusiaono ya ndoa, hupaswi kuweka talaka kuwa suluhisho, hata ikiwa umekosea kitu gani,
labda uniambie kuwa umekuwa choko, hapo lazima mke akuache...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…