Naomba kufahamu Madhara ya kupeana talaka baada ya ndoa Kuvunjika

Acha kiherehere. Au ndio umemchoka sasa unatafuta sababu ya kuachana nae!!
hapana mkuu namuelewa huyu mwanamke ana kaliba fulani hivi ambayo kiuhalisi lazima ataangukia kwenye kudai talaka labda Mungu amshukie apokee kosa langu na anisamehe
 
Asante mkuu ushauri wako nimeuweka kwenye list tayari kuuchakata.. thanks in advance
 
Asante sana tate mkuu ushauri wako ni mzuri Mungu akubariki.. thanks in advance
 
hapana mkuu namuelewa huyu mwanamke ana kaliba fulani hivi ambayo kiuhalisi lazima ataangukia kwenye kudai talaka labda Mungu amshukie apokee kosa langu na anisamehe
Na sasa ndio umegundua kuwa ni lazima umwambie hilo kosa?

Nawahurumia watoto wako kwakweli.
 
mkuu Tata Mkuruia nimekuelewa sana.. thanks in advance
 
Na sasa ndio umegundua kuwa ni lazima umwambie hilo kosa?

Nawahurumia watoto wako kwakweli.
Nasikia hatia kubaki na hii siri bila yeye kujua kuna sauti inanisumbua nimwambie tu hata kama yatatokea ya kutokea ila sasa nikitazama mbele naona kuna mambo mengi yananiweka njia panda mkuu.. nakosa amani sina furaha kabisa
 
Umeongea kitu Cha busara Sana.Tamaa,ubinafsi,elimu,kipato Ndo vinavuluga ndoa za watu wengi pasipo kujua wanahalibu kesho ya watoto.
 
Labda ungesema hilo tatizo ili watu wapime njia nzuri ya wewe kuusafisha moyo kwa kusema ukweli
Nimempa ujauzito mwanamke mmoja wa kizungu mimba ina miezi kadhaa sasa ila anaishi nje ya canada mwanzo nilikuwa nataka aitoe tu akagoma lakini kadri muda unavyozidi kwenda naona namhitaji huyo mtoto aliye tumboni si vyema kumtelekeza sasa katika hilo ndio likaibuka suala la kumwambia mkewangu tu ukweli kwamba mwenzie mimi nishaharibu huko nje na natarajia mtoto mwingine sasa hali nayoisikia huku ndani ni tofauti sana.. atalibebaje atalikubali ? na baada ya kumwambia hali ya ndoa yetu itakuwaje ? kama itafikia kupeana talaka hali itakuwaje ndio maswali yanayonisumbua kwasasa mkuu
 
Nasikia hatia kubaki na hii siri bila yeye kujua kuna sauti inanisumbua nimwambie tu hata kama yatatokea ya kutokea ila sasa nikitazama mbele naona kuna mambo mengi yananiweka njia panda mkuu.. nakosa amani sina furaha kabisa
Iseme hiyo siri, kuna wenye busara zao humu kina Mshana Jr ERoni Watu8 Glenn Heaven Sent watakupa ushauri mzuri wa a way foward.
 
Infidelity = Divorce
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…