MBUZI MWENYE BUSARA
Senior Member
- Nov 24, 2019
- 143
- 155
Nyumba 11×9M, ina vyumba 3, sebure na dinning na choo? Hee?Habari wataalam wa ujenzi?
Naomba kufahamu makadirio ya bati na mbao ambazo nitatumia kuezeka nyumba hii ya vyumba vyumba vitatu vya kulala, sebule, dining, stoo na choo cha public. Vipimo ni 11m x 9m. Kwasasa nimeshafunga linta.
si
BATI (92pcs)Habari wataalam wa ujenzi?
Naomba kufahamu makadirio ya bati na mbao ambazo nitatumia kuezeka nyumba hii ya vyumba vyumba vitatu vya kulala, sebule, dining, stoo na choo cha public. Vipimo ni 11m x 9m. Kwasasa nimeshafunga linta.
Dah mkuu umetisha sana!! Asante sana!BATI (92pcs)
No of Sheet = (11×9)÷(0.6×2.7)×1.5 = 92 sheets
Twende kwenye uhalisia kuproove
Tuassume nyumba yako haina kona kona hivyo tunapaua kwa mgongo wa tembo
Kama utatumia angle ya 45, king post itakuwa ni nusu ya urefu wa tie beam.
Kingpost = 0.5×9= 4.5m
Rafter = sqrt(4.5²+4.5²)= 6.3m+ Overhang (0.3m)= 6.6m
Idadi ya bati per roofing line = (11m+Overhang (0.4×2))/0.6 = 19.6 (approx 20)
Katika 6.6m zinaingia bati 2 na kubaki uwazi wa 1m
Jumla ya bati nzima = 2x20x2 = bati 80 (pande zote mbili)
Bati moja vinaingia vipande vya 1m vitatu, na jumla vinahitajika vipande 40 (20 upande mmoja, 20 upande mwingine)
Jumla ya bati za kuziba vipande = 40/3 = 13.3
JUMLA = 80+13 = Bati 93
MBAO 2×4 (125pcs), MBAO 2x2 (40pcs)
Idadi ya kench = (11m/1.2m)+1 = 10
Kench moja huwa inatumia mbao mara 5 ya urefu wa tie beam
So idadi ya mbao (2×4) = (10x5x9)/3.6 = 125
Mbao za 2x2 = (11m+0.4mx2)×6×2= 39.3 (Approx 40)
MISUMARI YA BATI 15PKT
No of pkt = (92 /6)= 15
Summary
Bati 92pcs to 94pcs
Mbao 2x4 125pcs
Mbao 2x2 40pcs
Misumari ya bati 15 pakt
Lakini sio mgongo wa temboDah mkuu umetisha sana!! Asante sana!
Hii safina ya picha ya safina ya nuhu au picha ya nyumba
Hahahaha acha fujoHii safina ya picha ya safina ya nuhu au picha ya nyumba
Mzee iyo idadi ya kench 10. Nyumba si itaonekana kama godown au darasa?BATI (92pcs)
No of Sheet = (11×9)÷(0.6×2.7)×1.5 = 92 sheets
Twende kwenye uhalisia kuproove
Tuassume nyumba yako haina kona kona hivyo tunapaua kwa mgongo wa tembo
Kama utatumia angle ya 45, king post itakuwa ni nusu ya urefu wa tie beam.
Kingpost = 0.5×9= 4.5m
Rafter = sqrt(4.5²+4.5²)= 6.3m+ Overhang (0.3m)= 6.6m
Idadi ya bati per roofing line = (11m+Overhang (0.4×2))/0.6 = 19.6 (approx 20)
Katika 6.6m zinaingia bati 2 na kubaki uwazi wa 1m
Jumla ya bati nzima = 2x20x2 = bati 80 (pande zote mbili)
Bati moja vinaingia vipande vya 1m vitatu, na jumla vinahitajika vipande 40 (20 upande mmoja, 20 upande mwingine)
Jumla ya bati za kuziba vipande = 40/3 = 13.3
JUMLA = 80+13 = Bati 93
MBAO 2×4 (125pcs), MBAO 2x2 (40pcs)
Idadi ya kench = (11m/1.2m)+1 = 10
Kench moja huwa inatumia mbao mara 5 ya urefu wa tie beam
So idadi ya mbao (2×4) = (10x5x9)/3.6 = 125
Mbao za 2x2 = (11m+0.4mx2)×6×2= 39.3 (Approx 40)
MISUMARI YA BATI 15PKT
No of pkt = (92 /6)= 15
Summary
Bati 92pcs to 94pcs
Mbao 2x4 125pcs
Mbao 2x2 40pcs
Misumari ya bati 15 pakt
Niwie radhi mkuu! Bila fujo hapaendi mkuu! [emoji1787][emoji1787] Kuna mahala umeulizwa ni mgogo wa tembo ukakataa, ungetuma pic kamili au hata chora kwny karatasi Leyout ya boma ni utapewa makadirio yatakayo kua na uwianoHahahaha acha fujo
Ndio, nimeassume kwamba anapaua kwa mfumo wa mgongo wa tembo (darasa). Nimetumia spacing ya futi 4, japo wengine wanaweka futi 5, wengine futi 6Mzee iyo idadi ya kench 10. Nyumba si itaonekana kama godown au darasa?
Mkuu nina kautaalamu kidogo cha kuezeka ila kwa calculation yako hii umeenda mbali mno!BATI (92pcs)
No of Sheet = (11×9)÷(0.6×2.7)×1.5 = 92 sheets
Twende kwenye uhalisia kuproove
Tuassume nyumba yako haina kona kona hivyo tunapaua kwa mgongo wa tembo
Kama utatumia angle ya 45, king post itakuwa ni nusu ya urefu wa tie beam.
Kingpost = 0.5×9= 4.5m
Rafter = sqrt(4.5²+4.5²)= 6.3m+ Overhang (0.3m)= 6.6m
Idadi ya bati per roofing line = (11m+Overhang (0.4×2))/0.6 = 19.6 (approx 20)
Katika 6.6m zinaingia bati 2 na kubaki uwazi wa 1m
Jumla ya bati nzima = 2x20x2 = bati 80 (pande zote mbili)
Bati moja vinaingia vipande vya 1m vitatu, na jumla vinahitajika vipande 40 (20 upande mmoja, 20 upande mwingine)
Jumla ya bati za kuziba vipande = 40/3 = 13.3
JUMLA = 80+13 = Bati 93
MBAO 2×4 (125pcs), MBAO 2x2 (40pcs)
Idadi ya kench = (11m/1.2m)+1 = 10
Kench moja huwa inatumia mbao mara 5 ya urefu wa tie beam
So idadi ya mbao (2×4) = (10x5x9)/3.6 = 125
Mbao za 2x2 = (11m+0.4mx2)×6×2= 39.3 (Approx 40)
MISUMARI YA BATI 15PKT
No of pkt = (92 /6)= 15
Summary
Bati 92pcs to 94pcs
Mbao 2x4 125pcs
Mbao 2x2 40pcs
Misumari ya bati 15 pakt
Ny
Nyumba 11×9M, ina vyumba 3, sebure na dinning na choo? Hee?
Mwanangu ww ni fundi. Haswaaa yaani haya makadirio ya mahesabi yako sahihi sana haitaweza kuzidi au kupungua kwa kiasi kikubwa mimi pia nina uzoefu wa kuezeka maana nmeezeka nyumba kama ya ukubwa kama huo huo na nimetumia bati za msauzi futi 10 pc72 na mba0 za 2×4 =120 na za 2×2 pc 60 maana mi nyumba ilikuwa na makona kona kwaiyo sikuezeka kwa mgongo wa tembo bali mapaa mengiBATI (92pcs)
No of Sheet = (11×9)÷(0.6×2.7)×1.5 = 92 sheets
Twende kwenye uhalisia kuproove
Tuassume nyumba yako haina kona kona hivyo tunapaua kwa mgongo wa tembo
Kama utatumia angle ya 45, king post itakuwa ni nusu ya urefu wa tie beam.
Kingpost = 0.5×9= 4.5m
Rafter = sqrt(4.5²+4.5²)= 6.3m+ Overhang (0.3m)= 6.6m
Idadi ya bati per roofing line = (11m+Overhang (0.4×2))/0.6 = 19.6 (approx 20)
Katika 6.6m zinaingia bati 2 na kubaki uwazi wa 1m
Jumla ya bati nzima = 2x20x2 = bati 80 (pande zote mbili)
Bati moja vinaingia vipande vya 1m vitatu, na jumla vinahitajika vipande 40 (20 upande mmoja, 20 upande mwingine)
Jumla ya bati za kuziba vipande = 40/3 = 13.3
JUMLA = 80+13 = Bati 93
MBAO 2×4 (125pcs), MBAO 2x2 (40pcs)
Idadi ya kench = (11m/1.2m)+1 = 10
Kench moja huwa inatumia mbao mara 5 ya urefu wa tie beam
So idadi ya mbao (2×4) = (10x5x9)/3.6 = 125
Mbao za 2x2 = (11m+0.4mx2)×6×2= 39.3 (Approx 40)
MISUMARI YA BATI 15PKT
No of pkt = (92 /6)= 15
Summary
Bati 92pcs to 94pcs
Mbao 2x4 125pcs
Mbao 2x2 40pcs
Misumari ya bati 15 pakt
Actually Nimetumia angle ya 45 ili mahesabu yaeleweke kirahisi, lakini site sio mara zote kingpost tunagawanya kwa 2 kupata angle ya 45...wengine huwa wanagawanya kwa 2.5 kwa hivyo angle inapungua na kufanya idadi ya bati pia ipungue. Nashukuru kwa appreciations ndg, tuko pamojaMwanangu ww ni fundi. Haswaaa yaani haya makadirio ya mahesabi yako sahihi sana haitaweza kuzidi au kupungua kwa kiasi kikubwa mimi pia nina uzoefu wa kuezeka maana nmeezeka nyumba kama ya ukubwa kama huo huo na nimetumia bati za msauzi futi 10 pc72 na mba0 za 2×4 =120 na za 2×2 pc 60 maana mi nyumba ilikuwa na makona kona kwaiyo sikuezeka kwa mgongo wa tembo bali mapaa mengi
Asante sana kwa effort yako uliyoionesha hapa.BATI (92pcs)
No of Sheet = (11×9)÷(0.6×2.7)×1.5 = 92 sheets
Twende kwenye uhalisia kuproove
Tuassume nyumba yako haina kona kona hivyo tunapaua kwa mgongo wa tembo
Kama utatumia angle ya 45, king post itakuwa ni nusu ya urefu wa tie beam.
Kingpost = 0.5×9= 4.5m
Rafter = sqrt(4.5²+4.5²)= 6.3m+ Overhang (0.3m)= 6.6m
Idadi ya bati per roofing line = (11m+Overhang (0.4×2))/0.6 = 19.6 (approx 20)
Katika 6.6m zinaingia bati 2 na kubaki uwazi wa 1m
Jumla ya bati nzima = 2x20x2 = bati 80 (pande zote mbili)
Bati moja vinaingia vipande vya 1m vitatu, na jumla vinahitajika vipande 40 (20 upande mmoja, 20 upande mwingine)
Jumla ya bati za kuziba vipande = 40/3 = 13.3
JUMLA = 80+13 = Bati 93
MBAO 2×4 (125pcs), MBAO 2x2 (40pcs)
Idadi ya kench = (11m/1.2m)+1 = 10
Kench moja huwa inatumia mbao mara 5 ya urefu wa tie beam
So idadi ya mbao (2×4) = (10x5x9)/3.6 = 125
Mbao za 2x2 = (11m+0.4mx2)×6×2= 39.3 (Approx 40)
MISUMARI YA BATI 15PKT
No of pkt = (92 /6)= 15
Summary
Bati 92pcs to 94pcs
Mbao 2x4 125pcs
Mbao 2x2 40pcs
Misumari ya bati 15 pakt
Pamoja ndgAsante sana kwa effort yako uliyoionesha hapa.
Jamaa uko vzr, naomba mawasiliano yako unikadilie ramani flan hapa, kuna hela ya supu mkuuBATI (92pcs)
No of Sheet = (11×9)÷(0.6×2.7)×1.5 = 92 sheets
Twende kwenye uhalisia kuproove
Tuassume nyumba yako haina kona kona hivyo tunapaua kwa mgongo wa tembo
Kama utatumia angle ya 45, king post itakuwa ni nusu ya urefu wa tie beam.
Kingpost = 0.5×9= 4.5m
Rafter = sqrt(4.5²+4.5²)= 6.3m+ Overhang (0.3m)= 6.6m
Idadi ya bati per roofing line = (11m+Overhang (0.4×2))/0.6 = 19.6 (approx 20)
Katika 6.6m zinaingia bati 2 na kubaki uwazi wa 1m
Jumla ya bati nzima = 2x20x2 = bati 80 (pande zote mbili)
Bati moja vinaingia vipande vya 1m vitatu, na jumla vinahitajika vipande 40 (20 upande mmoja, 20 upande mwingine)
Jumla ya bati za kuziba vipande = 40/3 = 13.3
JUMLA = 80+13 = Bati 93
MBAO 2×4 (125pcs), MBAO 2x2 (40pcs)
Idadi ya kench = (11m/1.2m)+1 = 10
Kench moja huwa inatumia mbao mara 5 ya urefu wa tie beam
So idadi ya mbao (2×4) = (10x5x9)/3.6 = 125
Mbao za 2x2 = (11m+0.4mx2)×6×2/3.6= 39.3 (Approx 40)
MISUMARI YA BATI 15PKT
No of pkt = (92 /6)= 15
Summary
Bati 92pcs to 94pcs
Mbao 2x4 125pcs
Mbao 2x2 40pcs
Misumari ya bati 15 pakt