Naomba kufahamu makadirio ya bati na mbao kuezeka nyumba hii

Itabidi tuwasiliane ndg maana hapa nilikuwa natoa elimu ili kila mmoja aweze kufanya makadirio mwenyewe, in case kama mtu atataka nimfanyie makadirio hiyo tena itakuwa ni biashara

Dm tumeluka
 
@Njuka II Mkuu unaweza nisaidia makadirio kwa nyumba yenye vipimo hivi (13.15x12.9)
 
@Njuka II Mkuu unaweza nisaidia makadirio kwa nyumba yenye vipimo hivi (13.15x12.9)
Mkuu mimi nimeshawaelekeza ili mfanye wenyewe, hapo ni sawa nimewapatia ndoano badala ya samaki

Ukitaka nikufanyie mimi hayo mahesabu, unakuja na plan/ sketch yako yenye vipimo tuongee kibiashara ili tufanye mahesabu kiusahihi
 
Mwamba umeiva na kuungulia kbsaaaaa hongera
 
Mahesabu haya ni magumu,ni kwa mafundi wazoefu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…