Naomba kufahamu tabia za wanyakyusa

Naomba kufahamu tabia za wanyakyusa

kwangu huwa rahisi sana kuwatambua wabena na wakinga hata nisiposikia rafundi yao,huwa nikiona muonekano wa sura najua huyu kama si mbena ni mkinga.
Mkuu emu nipe hizo features from the front page hapo juu

Natanguliza mkono wa shukhurani pale utakapo funguka
 
Wanyaki sio wachoyo kweny vyakula Ile mijamaa Haina dhiki za vyakula kabisa miviazi,miparachi,mindizi,miwali Yani kwao imejazana tu sema shida Yao moja wanajikubali sana ila kabila lao ni moja kati ya makabila yenye wanawake wenyeheshima na kufanya kazi Kwa bidii
Umesema ukweli mkuu
 
Back
Top Bottom