Nyalotsi
JF-Expert Member
- Jul 20, 2011
- 6,986
- 5,058
[emoji22][emoji22]Nawapenda sana aina nyie ila tatizo mapenzi yalishanikifu mkuu....we huoni ninavyochezea vichwa vya watu humu....naburudika kufanya Ivo Lakini moto wa kuwa na Mpenz sina....hata Ivo mwisho wa siku tunazikwa.Nayachukia mapenzi kiukweli
Pole kwa yaliyokukuta