Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Heaven Sent kumbe kipaji unacho ila umekikalia tu🙆🙆🙆Ndio ushangae sasa mimi ninavyojua wanyakyusa ni watu wa misifa amshaamsha kama zote maneno kibao! Na ndio maana wanaongoza kuteka akili za watu kwa maneno tu we chukulia mfano pastor mgogo, mzee wa upako, burudozer, na wengine wengi bila kumsahau babu wa loliyondo aliye wauzia vikombe maelfu ya watu. Hawa jamaa wako vzr hata ukifwatili tasnia ya habari, Michezo, na burudani wamejaa sana huko.