Naomba kufahamu tabia za wanyakyusa

Naomba kufahamu tabia za wanyakyusa

Wanyakyusa wanapenda sana kusaidiwa yaan yeye kupewa msaada ni haki yake ila kiukweli wamesoma sana pia waninafsi
 
Habari, naomba kujuzwa kidogo kuhusu tabaia/sifa za watu wa mkoa wa Mbeya hasa (Wanyakyusa). Wanasifa gani tofauti na za makabila mengine hasa Wanaume wa kinyakyusa(Distinctive features)?

Kwanini nauliza??

Well, kwa sababu zangu binafsi. Mara nyingi napenda kujitambulisha kabila langu kua ni "msukuma" na naongea kisukuma pia somehow. Bahati mbaya sana huwa japo najitambulisha kama msukuma ila hua wanakataa na kusema mimi ni mnyaki.

Eneo nililopo sasa wananiita mnyaki na wengine hupenda kuniuliza habari za Mbeya ila Sijawahi kufika Mbeya hata siku moja. Nikiuliza kwanini mnadhani mimi ni mnyaki wanasema wanyaki wanaume sura/muonekano wao haujifichi.

Kilichofanya nichukulie serious hii ishu ni jambo lililotokea wiki hii, nilienda mahali fulani kupata huduma unfortunately some inconvenience emerged and it was kinda a no-go on my service. Ila mtoa huduma mdada akaniambia nakusadia tu kwakua wewe ni "wakwetu." Nilishtuka kidogo nikauliza kwenu wapi? Akajibu Mbeya!

Nikauliza umejuaje mimi natokea mbeya? Akasema pia sura yako inaonyesha ni myakyusa😅, ili nisikose huduma ikabidi nikubali tu.

Hear, Hear
Nijuze sifa za watu hawa ili nijue kwanini nami nachukuliwa hivyo!
I want to embrace it, nianze kujitambulisha kama mnyakyusa.✌️
Elezea kuhusu traits zako ili iwe rahisi kuoanisha na nunachotaka kujua kuhusu hio jamii ya hao watu,

Tabia hiziko general tribes ziko na geographical disparities especially wanayakyusa utofauti wa tarafa, kata na vijiji hasa kulingana na chifu wao ni nani na uongozi wake ulikuwaje, Mfano wa Kyela na Tukuyu wana Ukukwe tofauti kabisa, commonalities zipo na zina varry kati ya mtu na mtu mfano mixer ya mnyaki mnyaki , mnyaki mundali , mnyaki na other tribes, exposure ya familia those who grew in urban trade centers, etc,
 
Habari, naomba kujuzwa kidogo kuhusu tabaia/sifa za watu wa mkoa wa Mbeya hasa (Wanyakyusa). Wanasifa gani tofauti na za makabila mengine hasa Wanaume wa kinyakyusa(Distinctive features)?

Kwanini nauliza??

Well, kwa sababu zangu binafsi. Mara nyingi napenda kujitambulisha kabila langu kua ni "msukuma" na naongea kisukuma pia somehow. Bahati mbaya sana huwa japo najitambulisha kama msukuma ila hua wanakataa na kusema mimi ni mnyaki.

Eneo nililopo sasa wananiita mnyaki na wengine hupenda kuniuliza habari za Mbeya ila Sijawahi kufika Mbeya hata siku moja. Nikiuliza kwanini mnadhani mimi ni mnyaki wanasema wanyaki wanaume sura/muonekano wao haujifichi.

Kilichofanya nichukulie serious hii ishu ni jambo lililotokea wiki hii, nilienda mahali fulani kupata huduma unfortunately some inconvenience emerged and it was kinda a no-go on my service. Ila mtoa huduma mdada akaniambia nakusadia tu kwakua wewe ni "wakwetu." Nilishtuka kidogo nikauliza kwenu wapi? Akajibu Mbeya!

Nikauliza umejuaje mimi natokea mbeya? Akasema pia sura yako inaonyesha ni myakyusa😅, ili nisikose huduma ikabidi nikubali tu.

Hear, Hear
Nijuze sifa za watu hawa ili nijue kwanini nami nachukuliwa hivyo!
I want to embrace it, nianze kujitambulisha kama mnyakyusa.✌️
Ni wabinafsi mno, wanajiiona wao ndio wao kumbe vichwa maboga, wanavipaji, wanapenda kuamuliwa na familia sio wao wenyewe.....mwisho ni washamba hapo sio sana, ngoja nmalizie awaambiliki
 
Daah kama ni hivyo ngoja niiendelee kuwa msukuma tu asee.
 
Hakuna,mhehe ni mtu sana ujue....sema wakitoa posa Ndo wamemaliza Kila kitu wagumu kutoa mahari balaa [emoji57]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mwaisa mtu mbad...
Nasikia ukigombana na mnyakyusa wewe ni hufai ktk jamii... Hawa watu wako peace sana wanajiamini na wanajipenda sana... Nikiongeza mke lazima nioe mnyakyusa... Wana nyota ya kutoboa kimaisha
Wenye hizo sifa ni wanaume.
Wanawake ni washari balaa.!!!
 
Back
Top Bottom