Naomba kufahamu tabia za wanyakyusa

Hahaha accent ya kisukuma ndio maana ulikataa lile wazo letu la YouTube?

Sema kawaida tu watu kukuchanganya kabila, huwa nakutana na hiyo kitu watu kudhani mimi ni muhaya wakat ni wa iringa sielewagi
Mhaya na mhehe ndugu wa tumbo moja
 
Duuuuh!,mbona kama ka ukabila kanarudi,oky kabla sijapitia maoni ha wadau hebu tuma picha yako kwanza
 
Nataka niwe mnyaki official naomba guidelines pls. Pia unitafutie pisi ya maana[emoji28][emoji28]
Na wewe likely utakuwa ni tall dark guy maana mabros wengi wa Kinyaki inasemekana ni dark tall guys na wanapendwa sana na mabinti Tanzania nzima na duniani kote. Akina nkamu Heaven Sent, Kelsea, Hannah, Mummy Love, financial services na Simara kwani nasema uwongo dada zangu? Akiwa siyo tall dark guy huyu, bado ana haki ya kujiita Mnyaki?

 
Wanapenda maparachichi
 
Nina 5.8ft sijui ninakwalifai kuitwa Tall,dark an handsome πŸ˜…
Sema wasukuma Mungu awabariki sana hua najisikia raha sana kujitambulisha kua mimi ni msukuma. Na mara nyingi rafiki zangu ni wasukuma tu.
... They're so real and kind. Inawezekana mnaongoza kwa ukarimu tanzania. ✌️
 
Asante bageshi. Sisi tunachekwa ushamba ila kwa ukarimu kwa kweli tuko vizuri. Wabeja!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…