Naomba kufahamu tabia za wanyakyusa

Naomba kufahamu tabia za wanyakyusa

Hahaha accent ya kisukuma ndio maana ulikataa lile wazo letu la YouTube?

Sema kawaida tu watu kukuchanganya kabila, huwa nakutana na hiyo kitu watu kudhani mimi ni muhaya wakat ni wa iringa sielewagi
Mhaya na mhehe ndugu wa tumbo moja
 
Duuuuh!,mbona kama ka ukabila kanarudi,oky kabla sijapitia maoni ha wadau hebu tuma picha yako kwanza
 
Nataka niwe mnyaki official naomba guidelines pls. Pia unitafutie pisi ya maana[emoji28][emoji28]
Na wewe likely utakuwa ni tall dark guy maana mabros wengi wa Kinyaki inasemekana ni dark tall guys na wanapendwa sana na mabinti Tanzania nzima na duniani kote. Akina nkamu Heaven Sent, Kelsea, Hannah, Mummy Love, financial services na Simara kwani nasema uwongo dada zangu? Akiwa siyo tall dark guy huyu, bado ana haki ya kujiita Mnyaki?

Screenshot_20220903-161358_Google.jpg
 
Habari, naomba kujuzwa kidogo kuhusu tabaia/Sifa za watu wa mkoa wa mbeya hasa (Wanyakyusa). Wanasifa gani tofauti na za makabila mengine Hasa Wanaume wa kinyakyusa(Distinctive features).

Kwanini nauliza??

Well.. Kwa sababu zangu binafsi Mara nyingi napenda kujitambulisha kabila langu kua ni "Msukuma" na naongea kisukuma pia somehow. Bahati mbaya sana hua japo najitambulisha kama msukuma ila hua wanakataa na kusema mimi ni mnyaki. Eneo nililopo sasa wananiita mnyaki na wengine hupenda kuniuliza habari za mbeya ila Sijawahi kufika mbeya hata siku moja...Nikiuliza kwanini mnadhai mm ni mnyaki wanasema wanyaki wanaume sura/muonekano wao haujifichi.

Kilichofanya nichukulie serious hii ishu ni jambo lililotokea wiki hii, Nilienda mahali fulani kupata huduma Unfortunately some inconvenience emerged and it was kinda a no-go on my service. Ila mtoa huduma mdada akaniambia nakusadia tu kwakua wewe ni "wakwetu," Nilishtuka kidogo nikauliza kwenu wapi?? Akajibu.. Mbeya!!

Nikauliza umejuaje mimi natokea mbeya?? Akasema pia sura yako inaonyesha ni myakyusa😅 Ili nisikose huduma ikabidi nikubali tu.

Hear, Hear.....
Nijuze sifa za watu hawa ili nijue kwanini nami nachukuliwa hivyo!
I want to embrace it...Nianze kujitambulisha kama mnyakyusa✌️
Wanapenda maparachichi
 
Na wewe likely utakuwa ni tall dark guy maana mabros wengi wa Kinyaki inasemekana ni dark tall guys na wanapendwa sana na mabinti Tanzania nzima na duniani kote. Akina nkamu Heaven Sent, Kelsea, Hannah, Mummy Love, financial services na Simara kwani nasema uwongo dada zangu? Akiwa siyo tall dark guy huyu, bado ana haki ya kujiita Mnyaki?

View attachment 2344891
Nina 5.8ft sijui ninakwalifai kuitwa Tall,dark an handsome 😅
Sema wasukuma Mungu awabariki sana hua najisikia raha sana kujitambulisha kua mimi ni msukuma. Na mara nyingi rafiki zangu ni wasukuma tu.
... They're so real and kind. Inawezekana mnaongoza kwa ukarimu tanzania. ✌️
 
Asante bageshi. Sisi tunachekwa ushamba ila kwa ukarimu kwa kweli tuko vizuri. Wabeja!
 
Back
Top Bottom