Naomba kufahamu tabia za wanyakyusa

Naomba kufahamu tabia za wanyakyusa

Habari, naomba kujuzwa kidogo kuhusu tabaia/sifa za watu wa mkoa wa Mbeya hasa (Wanyakyusa). Wanasifa gani tofauti na za makabila mengine hasa Wanaume wa kinyakyusa(Distinctive features)?

Kwanini nauliza?

Well, kwa sababu zangu binafsi. Mara nyingi napenda kujitambulisha kabila langu kua ni "msukuma" na naongea kisukuma pia somehow. Bahati mbaya sana huwa japo najitambulisha kama msukuma ila hua wanakataa na kusema mimi ni mnyaki.

Eneo nililopo sasa wananiita mnyaki na wengine hupenda kuniuliza habari za Mbeya ila Sijawahi kufika Mbeya hata siku moja. Nikiuliza kwanini mnadhani mimi ni mnyaki wanasema wanyaki wanaume sura/muonekano wao haujifichi.

Kilichofanya nichukulie serious hii ishu ni jambo lililotokea wiki hii, nilienda mahali fulani kupata huduma unfortunately some inconvenience emerged and it was kinda a no-go on my service. Ila mtoa huduma mdada akaniambia nakusadia tu kwakua wewe ni "wakwetu." Nilishtuka kidogo nikauliza kwenu wapi? Akajibu Mbeya!

Nikauliza umejuaje mimi natokea mbeya? Akasema pia sura yako inaonyesha ni myakyusa😅, ili nisikose huduma ikabidi nikubali tu.


Hear, Hear
Nijuze sifa za watu hawa ili nijue kwanini nami nachukuliwa hivyo!
I want to embrace it, nianze kujitambulisha kama mnyakyusa.✌️
Wanyaki wanatokea Sandhust Uingereza, wewe ulikuja mwaka gani Tanzania kwani kuna jirani yangu alikuwa anaishi East Sandhust anafanana sana na wewe.
 
Wanyaki ni watu wenye hofu ya mungu
Sio wachoyo kwenye misosi
Wanapenda kusaidiana wakikutana mbali na mkoa wao
Wanapenda familia zao
Sio wabishi
Ni wachapakazi
Wakikutana sehemu wakijua ni wanyaki wataunda undugu kabisa ata kama mmoja ni wa kyela mwengine ni WA uyole.
Wabinafsi, hawapendi kudeka deka,
Wananguvu Sana wanamiili mikubwa mfano ZOLA D
wanaume wakioa kutoa talaka ni mbinde Sana huwa hawaachi kirahisi hila wanaongezaga nyumba ndogo ndio maana wazee wao WA zamani walikua wanaoa wake zaidi ya mmoja na wote wanaishi hapohapo nyumba moja.
Wanaroho ngumu makaburi Yao yapo upenuni mwa nyumba ya ukoo.


Wanaume wengi wao ni wapole watanashati na wanaongea Kwa nukta.
Lakin wanawake ni wakali wanapenda nyumba zao ziwe safi wanajipenda na ni wachapakazi ndio maana mpaka sasahivi tangu zamani desturi ya tukuyu na sehem zngne za mbeya utakuta mwanaume akishatoka shambani asubui akirud nyumbani anapumzika analisha mifugo yake. lakini mwanamke YEYE akitoka shambani anapitiliza sokoni kupeleka mazao kuuza

Wanawake wakinyaki ni wachapakazi Sana hawapendi kukaa nyumbani Bila KAZI ndio mana ikifika siku za gulio mwenye maharage mwenye karanga mwenye ndizi
Mwenye magimbi nk atapeleka kuuza sokoni kufanya biashara.

Mimi ni mnyaki pure wa kiwira hila Babu yangu aliwahi niambia asili yao ni joberg South Africa.
 
1. Wana majivuno yasiyo na sababu
2. Wanapwnda mashindano hasa ugomvi wa kitoto
3. Wamejaa kiburi
4. Waba uhaya flani hivi
 
Weusi
Uso mpana kidogo unaoenda na mwili tough kidogo
Urefu wa kati
Moyo wa huruma na kusaidia watu wenye uhitaji ni wepesi
Shangwe(ucheshi)na Kila mtu ila Kaz kupeana ni kiundugu kias (wachaga wametuzidi hapa)
Uongeaji na kujisifu kiasi(wahaya wametuzidi hapa)
Upole Kwa wake zao ila nje wanatembeza(mbwa amezidiwa hapa)😉
Kuna mume wa rafiki yangu mnyaki amebrikiwa vitu ulivyovitaja ila yule jamaa ni mchafu wa tabia kwakweli umetoa reference ya ukweli halafu ni asilimia kubwa.
 
Kuna mume wa rafiki yangu mnyaki amebrikiwa vitu ulivyovitaja ila yule jamaa ni mchafu wa tabia kwakweli umetoa reference ya ukweli halafu ni asilimia kubwa.
Ni balaa
 
Mutwangalile twe bha mwaisa loli.Uswe tukulya abhakambani na bha mwamunyila,amasimbi,amatoki gha kokya na matakapela,kangi tukunwa ulukama fyo bhene tuli ni mibhili iminywamu na maka mingi fijho linga kwisa mummbili nkulwa nanine ngukusopania pasi ngufwana ngusopa imipupa imiumi.Tulinimboto kumyitu ifindu fikelilwe fijho fyobhene na muntu tulinamahala fijho
 
Mutwangalile twe bha mwaisa loli.Uswe tukulya abhakambani na bha mwamunyila,amasimbi,amatoki gha kokya na matakapela,kangi tukunwa ulukama fyo bhene tuli ni mibhili iminywamu na maka mingi fijho linga kwisa mummbili nkulwa nanine ngukusopania pasi ngufwana ngusopa imipupa imiumi.Tulinimboto kumyitu ifindu fikelilwe fijho fyobhene na muntu tulinamahala fijho
Imbatata,...,... Kitomoto ni mbalaga[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom