mkumbwa junior
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 835
- 1,608
Umeandika vyema hakuna cha kupunguza au kuongezaKwa siku hizi ndiyo haiwezekani, lakini zaman ilikuwa mtu unaemzidi umri angeweza kuwa mwalim wako pia. Enzi hizo ilikuwa mwanafunzi wa miaka 18 anasoma darasa moja na mwanafunzi wa miaka 12.
Kumbuka JPM mzazi wake (baba) alikuwa ni mwalim so kuna uwezakano alisoma kwa umri mdogo nae Lugola alikuwa ni mtoto wa mkulima so alirudia shule mara kibao hachaguliwa kwenda secondary. Zamani ilikuwa ni kuchaguliwa kwenda secondary na siyo kushinda, kwa sababu ya uhaba wa shule. Enzi hizo kurudia shule hata mara nne ilikuwa ni jambo la kawaida.
Sent using Jamii Forums mobile app
Magu 59.Alimfundisha vipi Lugola ?
Inamaana wamepishana miaka mitatu na mkuu wa kaya. Haiwezekani mmoja wao awe mwalimu wa mwenzake labda,mmoja amfundishe mwezake kwa kuwa yupo mbele kimadarasa
Jazba za nini sasa kwenye platform ya watuwewe elewa moja kuwa kenge lugola kafundishwa na Rais. Ina maana huamini kauli ya Rais.!!!! Mbona una roho za kwa nini!?
Kwahiyo inawezekana uncle magu alirudisha umri wake nyumaNimesoma na mwanafunzi ana 33 yrs form 1.... alipofika form 4 akaandika 22 yrs wakati ana 36
Sent using Jamii Forums mobile app
ANayo 61 mwaka huu, mwaka jana alitimiza 60Inawezekana since wakati mwngne wanafunzi siku za nyuma walikuwa wakihitim hurudi kujitolea wakiwa wamesubiri matokeo au muda wa kuelekea advance au chuo
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeshangazwa sana na maneno ya Rais Magufuli wakati akimtumbua Lugola kuwa aliwahi kuwa mwanafunzi wake Sengerema Secondary wakati nikimtazama Rais Magufuli na Lugola ni kama Lugola ni mzee kuliko Magu
sasa kwa wanaojua umri wa bwana Lugola wanifahamishe tafadhari
Nimeangalia kwenye tovuti ya bunge kuwa Lugola alisoma sengerema secondary kuanzia mwaka 1981-1984 labda uchunguzi rasmi uanzie hapo kuangalia wakati huo mkemia Magu alikuwa anapiga mzigo wapi
Ukitaka kujua tarehe ya kuzaliwa ya mtu yeyote maarufu mtafute kwa kutumia wikipedia. Hata hivyo inaonyesha kama Mwalimu Magufuli aliwahi kusoma, halafu Mh. Lugola akawa amechelewa kidogo, na hicho ndicho kilichosababisha wahusiane kama mwalimu na mwanafunzi wake. Kwa mfano, mimi mwaka 1993 nilikuwa nafundisha darasa la wanafunzi wa F3, baadhi yao walikuwa wananizidi umri, wakati huo nilikuwa tayari nimeshamaliza FVI na JKT nimetoka. Hata hivyo kwa kuwaangalia maumbo, wengine walikuwa wanaonekana kama ni wadogo kuliko mimi!Nimeshangazwa sana na maneno ya Rais Magufuli wakati akimtumbua Lugola kuwa aliwahi kuwa mwanafunzi wake Sengerema Secondary wakati nikimtazama Rais Magufuli na Lugola ni kama Lugola ni mzee kuliko Magu
sasa kwa wanaojua umri wa bwana Lugola wanifahamishe tafadhari
Nimeangalia kwenye tovuti ya bunge kuwa Lugola alisoma sengerema secondary kuanzia mwaka 1981-1984 labda uchunguzi rasmi uanzie hapo kuangalia wakati huo mkemia Magu alikuwa anapiga mzigo wapi
Zamani huko iliwezekana sana, 2000 kurudi nyuma tulifundishwa na vijana waliomaliza A level na diploma, so ni rahisi sana ilikuwa ufundishwe na mtu kakuzidi 4-6yrs.Secondary Jamani. Wewe secondary na Primary kulikuwa na mwalimu anaekuzidi miaka minne tu ?
Duh, waliosoma MKWAWA HIGH SCHOOL miaka hiyo waliunganisha A level na Diploma, ilikuwa miaka mitatu kusoma A-level na Dip nadhani(kaka yangu alisomea hapo). Nikosolewe kama nimekosea...Magu siyo wa upe. Alimaliza Six mwaka 1981 .Mwaka huo huo akaanza chuo mkwawa. Najiuliza Dilpoma ya ualimu ilikuwa miaka mingapi ? Maana Kangi nae kaanza form one 1981 akamaliza 1984.
Pia kwa upande wa Magu kamaliza six Mkwawa high school na kusoma diploma hapo hapo.
Ina maana mkwawa ilikuwa secondary pia ilikuwa chuo cha diploma Ualimu ?
Wakati nimeanza form I nikiwa na miaka 14 wakati huo, kuna jamaa darasa moja walikuwa na miaka 18 hadi 24 na ndevu zao kabisa, tulisoma na baadhi ya wamasai walikuwa na zaidi ya miaka 25. Zamani hizo sio ajabu sana kusoma na vijebaUhakiki muhimu, tusije kuingizwa chaka.
Mtu anayeanza form one na miaka 18 ubongo ushaanza kuwaza wanawake hapo napo kuna tatizo.
Inawezekana alikuwa akisoma elimu ya watu wazima...Nimeshangazwa sana na maneno ya Rais Magufuli wakati akimtumbua Lugola kuwa aliwahi kuwa mwanafunzi wake Sengerema Secondary wakati nikimtazama Rais Magufuli na Lugola ni kama Lugola ni mzee kuliko Magu
sasa kwa wanaojua umri wa bwana Lugola wanifahamishe tafadhari
Nimeangalia kwenye tovuti ya bunge kuwa Lugola alisoma sengerema secondary kuanzia mwaka 1981-1984 labda uchunguzi rasmi uanzie hapo kuangalia wakati huo mkemia Magu alikuwa anapiga mzigo wapi
Magu 59.Alimfundisha vipi Lugola ?