Naomba kufahamu umri wa Bwana Kangi Lugola

Kangi alikuwa na demu hata wa kihaya
 
teenager
 
Ukitaka kupotea, fuatilia chimbuko la kibwengo Magu.

Vitu vingi anafake ili kuFIT IN.
 
Mhuuuuum. Kutokana na historia ya Magufuli hakuna sehemu alijitolea. Any way labda. Tena Sengerema secondary ni goverment. Labda.
Dada mbona ni rahisi tu kujua? Ninachojuwa Magu alishafundisha Sengerema Secondary miaka ya 80s. Cheki Biograph ya Magu utajua zaidi pia fuatilia historia ya Sengerema Secondary!
 
Pia Lugola nilikuwa naye Songea Boy's ambako alisoma HGE mwaka 1985 - 1988 tena alikuwa Head Prefect tena mnoko kwa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha
Basi Lugola alichelewa sana kuanza shule. Au alifeli la saba akarudia sana tena sana. Tatizo hawa wanasiasa utasikia tu wamesoma wapi na wapi ila miaka ipi hawasemi. Bashite nae haijulikani secondary alimaliza mwaka gani.
Hapo kangi naona alisoma akiwa kijeba.
 
Mkwawa ilikuwa ni Sekondari lakini Serikali ikaweka programu maalum ya Diploma, ukichaguliwa Mkwawa Sekondari miaka hiyo na ukafanya mtihani wa kumaliza kidato cha 6 na ukafaulu ilikuwa ni lazima uunge hapohapo kusoma Diploma ya Ualimu ya miaka 2. Hivyo ndivyo Magufuli na wasomi wengine walivyopitia, na ndio maana alisoma Shadaha baadae hata kama ni kwa kutumia matokeo ya kidato cha sita (sio ya diploma).

Hata kama unapenda kusomea Urubani, ukisoma Mkwawa sekondari ilikuwa ni lazima kwanza usome diploma ya ualimu. Baadae hii programu ilifutwa, Mkwawa ikabaki kuwa sekondari ya advance tu. Wengi waliosoma hapo waliukacha ualimu baadae kwa kusoma shahada ziziso za elimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…