Naomba kufanya roll call (rokoo) 2015!

Naomba kufanya roll call (rokoo) 2015!

CharmingLady

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2012
Posts
18,296
Reaction score
12,972
Heri ya mwaka mpya 2019 wanaCC....

Kichwa cha habari chahusika saana.....

Ukipita hapa naomba uitike ili tupate kufahamu uwepo wako wewe member wa CC katika mwaka huu wa 2019......

Pia naomba tutumie fursa hii
kuwakumbuka wenzetu wote waliotutangulia, kuwaombea wote waliopo mahospitalini na magerezani.

Mwenyezi Mungu tusaidie mwaka
2019 ukawe wa Baraka na mafanikio kwetu, familia zetu ,taifa letu na dunia kwa ujumla.

Ameeeen!!!!!!

Wasalaam

CL

UPDATES: UZI UNAENDELEA 2019
 
Heri ya mwaka mpya 2015 wanaCC....

Kichwa cha habari chahusika saana.....

Ukipita hapa naomba uitike ili tupate kufahamu uwepo wako wewe member wa CC katika mwaka huu wa 2015...

Pia naomba tutumie fursa hii kuwakumbuka wenzetu wote waliotutangulia, kuwaombea wote waliopo mahospitalini na magerezani.

Mwenyezi Mungu tusaidie mwaka 2015 ukawe wa Baraka na mafanikio kwetu, familia zetu ,taifa letu na dunia kwa ujumla.

Ameeeen!!!!!!

Wasalaam

CL

Nipoooooo😀
 
uknw lembebiz measkron happy new year 2015!

Uknw nilikuwa Arusha kwa mapumziko huku nikipanda farasi. uknw supergadem mburulaz wamenionea wivu lakini let them die for me!.
hahahaha I like it......

Happy new year ..
Happy new year

Ha ha haaaaaa!! My brother Ruttashobolwa you know sina muda wa kufatilia others wanafanya nini! Nipo Nduruma you know kwa the bilionea David. I love this you know!!
 
Last edited by a moderator:
uknw lembebiz measkron happy new year 2015!

Uknw nilikuwa Arusha kwa mapumziko huku nikipanda farasi. uknw supergadem mburulaz wamenionea wivu lakini let them die for me!.
hahahaha I like it......

Happy new year ..
Happy new year

Hahaha! Si mchezo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom