CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,296
- 12,972
Heri ya mwaka mpya 2019 wanaCC....
Kichwa cha habari chahusika saana.....
Ukipita hapa naomba uitike ili tupate kufahamu uwepo wako wewe member wa CC katika mwaka huu wa 2019......
Pia naomba tutumie fursa hii
kuwakumbuka wenzetu wote waliotutangulia, kuwaombea wote waliopo mahospitalini na magerezani.
Mwenyezi Mungu tusaidie mwaka
2019 ukawe wa Baraka na mafanikio kwetu, familia zetu ,taifa letu na dunia kwa ujumla.
Ameeeen!!!!!!
Wasalaam
CL
UPDATES: UZI UNAENDELEA 2019