janeth1
JF-Expert Member
- Apr 4, 2014
- 2,151
- 768
Asante my douta zimefika...msalimie mkwe.
nashukuru mamaangu, nitamsalim amejaa tele.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante my douta zimefika...msalimie mkwe.
sirudii tena....Usifanye hivyo tena binamu
Happy new year my boss charminglady!
Mimi nimeitika! Nita kusaidia kuwaita Paloma Rich Woman warumi Evelysalt Mrembo by Nature Madame B BADILI TABIA nifah!.. Evelyn Salt
Wimbo wa Happy new year by Abba uwafikie popote walipo!
Heri ya mwaka mpya charminglady,mdau wa #TeamRekebishaLugha . Namshukuru Mungu nimeuona mwaka mpya ila sijaiona JF mpya tulioahidiwa na Maxence Melo!Heri ya mwaka mpya 2015 wanaCC....
Kichwa cha habari chahusika saana.....
Ukipita hapa naomba uitike ili tupate kufahamu uwepo wako wewe member wa CC katika mwaka huu wa 2015...
Pia naomba tutumie fursa hii kuwakumbuka wenzetu wote waliotutangulia, kuwaombea wote waliopo mahospitalini na magerezani.
Mwenyezi Mungu tusaidie mwaka 2015 ukawe wa Baraka na mafanikio kwetu, familia zetu ,taifa letu na dunia kwa ujumla.
Ameeeen!!!!!!
Wasalaam
CL
Heri ya mwaka mpya charminglady,mdau wa #TeamRekebishaLugha . Namshukuru Mungu nimeuona mwaka mpya ila sijaiona JF mpya tulioahidiwa na Maxence Melo!
nami pia binamu, lakini hiki cha udoctor binamu.....
juzi jana na leo, happy new yarrrr RuttashobolwaHappy new year my boss charminglady!
Mimi nimeitika! Nita kusaidia kuwaita Paloma Rich Woman warumi Evelysalt Mrembo by Nature Madame B BADILI TABIA nifah!.. Evelyn Salt
Wimbo wa Happy new year by Abba uwafikie popote walipo!
juzi jana na leo, happy new yarrrr Ruttashobolwa
ahsante, wajua biashara nimeshauza ile....Bianmu umesahau, kuna siku nilipost kibao chako, hebu ngoja nitafuta ile post. Acha kujificha Binamu Doctor
Wooooh...Morning my Lovely mum, happy to see you! Miss you loads.... :mwaaah: