Naomba kufanya roll call (rokoo) 2015!

Naomba kufanya roll call (rokoo) 2015!

Heri ya mwaka mpya 2015 wanaCC....

Kichwa cha habari chahusika saana.....

Ukipita hapa naomba uitike ili tupate kufahamu uwepo wako wewe member wa CC katika mwaka huu wa 2015...

Pia naomba tutumie fursa hii kuwakumbuka wenzetu wote waliotutangulia, kuwaombea wote waliopo mahospitalini na magerezani.

Mwenyezi Mungu tusaidie mwaka 2015 ukawe wa Baraka na mafanikio kwetu, familia zetu ,taifa letu na dunia kwa ujumla.

Ameeeen!!!!!!

Wasalaam

CL
Heri ya mwaka mpya charminglady,mdau wa #TeamRekebishaLugha . Namshukuru Mungu nimeuona mwaka mpya ila sijaiona JF mpya tulioahidiwa na Maxence Melo!
 
Last edited by a moderator:
Na mie nipogo
heri ya Xmas na Mwaka mpya wapendwa wote
 
Kwa kweli tunamshukuru mungu mimi pamoja na familia yangu
.... Happy new year kwa kila mtu humu ndani
 
Back
Top Bottom