CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,296
- 12,972
- Thread starter
- #21
Heri ya mwaka mpya bana charminglady...Ingawa mimi sio mwana CC!.
Oooh... Kutiki muramu! Nafurahi kukuona tena mwaka huu
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heri ya mwaka mpya bana charminglady...Ingawa mimi sio mwana CC!.
binamu nawe pia..., umenichunia au umenipotezea...?Binamu...heri ya mwaka mpya
Happy new year my boss charminglady!
Mimi nimeitika! Nita kusaidia kuwaita Paloma Rich Woman warumi Evelysalt Mrembo by Nature Madame B BADILI TABIA nifah!.. Evelyn Salt
Wimbo wa Happy new year by Abba uwafikie popote walipo!
Juzi, jana na leo
binamu nawe pia..., umenichunia au umenipotezea...?
basi tumepotezeana.....Nipo binamu nahisi wewe ndo umenipotezea
basi tumepotezeana.....
Tiipooooo...
Mimi apa....
Heri ya mwaka mpya 2015 wanaCC....
Kichwa cha habari chahusika saana.....
Ukipita hapa naomba uitike ili tupate kufahamu uwepo wako wewe member wa CC katika mwaka huu wa 2015...
Pia naomba tutumie fursa hii kuwakumbuka wenzetu wote waliotutangulia, kuwaombea wote waliopo mahospitalini na magerezani.
Mwenyezi Mungu tusaidie mwaka 2015 ukawe wa Baraka na mafanikio kwetu, familia zetu ,taifa letu na dunia kwa ujumla.
Ameeeen!!!!!!
Wasalaam
CL
Huyu dada ni mwalimu nn ahaa.nipo leo tu.jana sikwepo
basi mimi ndio nimekupotezea binamu....Mi sijakupotezea bina
basi mimi ndio nimekupotezea binamu....