CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,296
- 12,972
Heri ya mwaka mpya 2015 wanaCC....
Kichwa cha habari chahusika saana.....
Ukipita hapa naomba uitike ili tupate kufahamu uwepo wako wewe member wa CC katika mwaka huu wa 2015...
Pia naomba tutumie fursa hii kuwakumbuka wenzetu wote waliotutangulia, kuwaombea wote waliopo mahospitalini na magerezani.
Mwenyezi Mungu tusaidie mwaka 2015 ukawe wa Baraka na mafanikio kwetu, familia zetu ,taifa letu na dunia kwa ujumla.
Ameeeen!!!!!!
Wasalaam
CL
Nipoooooo😀
Chana na reo mwariiiimuuu
Happy new year Honey Faith
Juzi, jana na leo
Thanks to Allah nimeuona.I hope na wewe huko mambo si mabaya
uknw lembebiz measkron happy new year 2015!
Uknw nilikuwa Arusha kwa mapumziko huku nikipanda farasi. uknw supergadem mburulaz wamenionea wivu lakini let them die for me!.
hahahaha I like it......
Happy new year ..
Happy new year
uknw lembebiz measkron happy new year 2015!
Uknw nilikuwa Arusha kwa mapumziko huku nikipanda farasi. uknw supergadem mburulaz wamenionea wivu lakini let them die for me!.
hahahaha I like it......
Happy new year ..
Happy new year
Hongera kubahatika kuuona mwaka mpya!
Nipo hapa hapa.....