Naomba kufanya roll call (rokoo) 2015!

Naomba kufanya roll call (rokoo) 2015!

Juzi nilikoswakoswa kugongwa na basi kwa uzembe wa dereva wa gari lingine but we survived! Kwa hio ujue Nipo Hai tena jana, juzi, kesho na leo. Vinginevyo mngekuwa mmeshapata taarifa za msiba kwa kupitia Little Angel
 
Last edited by a moderator:
Heri ya mwaka mpya 2015 wanaCC....

Kichwa cha habari chahusika saana.....

Ukipita hapa naomba uitike ili tupate kufahamu uwepo wako wewe member wa CC katika mwaka huu wa 2015...

Pia naomba tutumie fursa hii kuwakumbuka wenzetu wote waliotutangulia, kuwaombea wote waliopo mahospitalini na magerezani.

Mwenyezi Mungu tusaidie mwaka 2015 ukawe wa Baraka na mafanikio kwetu, familia zetu ,taifa letu na dunia kwa ujumla.

Ameeeen!!!!!!

Wasalaam

CL

Huyu dada ni mwalimu nn ahaa.nipo leo tu.jana sikwepo
 
Back
Top Bottom