sinyoritah
JF-Expert Member
- Jun 3, 2012
- 552
- 346
Nipoooooooo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui niitike?
Nimefurahi kuwaona tena mwaka huu wapendwa wangu Mpu, kidenge, MankaM, Heaven Sent, mahondaw, FirstLady1 na wooote mliotika.....
Sasa tuzidi kuwa na bidii katika shughuli zetu na hata masomo ili mwaka huu uwe na mafanikio kwetu....
Kila la heri nyote!
Amen na mungu atujalie jaman mwaka huu uwe wa upendo
Happy new year my boss charminglady!
Mimi nimeitika! Nita kusaidia kuwaita Paloma Rich Woman warumi Evelysalt Mrembo by Nature Madame B BADILI TABIA nifah!.. Evelyn Salt
Wimbo wa Happy new year by Abba uwafikie popote walipo!
Sijui niitike?
Kwa kweli tunamshukuru mungu mimi pamoja na familia yangu
.... Happy new year kwa kila mtu humu ndani
Amen na mungu atujalie jaman mwaka huu uwe wa upendo
Nafurahi kukuona, ntakutafta.....
Me most daughter.... Mje kututembelea huku kijijini