lufungulo k JF-Expert Member Joined Apr 19, 2012 Posts 2,601 Reaction score 2,058 Jun 17, 2024 #321 Billie said: Nirudi kufanya nini ? Click to expand... Nilikuwa nakufahamisha tu kuwa kanisa Katoliki halibembelezi MUUMINI ndo maana ukikengeuka HAURUDI TU !! KUNA NJIA ZAKE .
Billie said: Nirudi kufanya nini ? Click to expand... Nilikuwa nakufahamisha tu kuwa kanisa Katoliki halibembelezi MUUMINI ndo maana ukikengeuka HAURUDI TU !! KUNA NJIA ZAKE .
Billie JF-Expert Member Joined Aug 13, 2011 Posts 13,588 Reaction score 22,752 Jun 22, 2024 Thread starter #322 Mac Alpho said: Huwa sielewi mantiki yao ya kugoma kuendesha ibaada ya mazishi, ni ujinga usio na maana kabisa. Click to expand... Si wanauza huduma
Mac Alpho said: Huwa sielewi mantiki yao ya kugoma kuendesha ibaada ya mazishi, ni ujinga usio na maana kabisa. Click to expand... Si wanauza huduma
Billie JF-Expert Member Joined Aug 13, 2011 Posts 13,588 Reaction score 22,752 Jun 22, 2024 Thread starter #323 lufungulo k said: Nilikuwa nakufahamisha tu kuwa kanisa Katoliki halibembelezi MUUMINI ndo maana ukikengeuka HAURUDI TU !! KUNA NJIA ZAKE . Click to expand... Sawa asante
lufungulo k said: Nilikuwa nakufahamisha tu kuwa kanisa Katoliki halibembelezi MUUMINI ndo maana ukikengeuka HAURUDI TU !! KUNA NJIA ZAKE . Click to expand... Sawa asante