Haya ndiyo maswali najiuliza pia, lakini mpaka Sasa huyu mtu na jamaa zake wengine wamelipwa zaidi ya siku 10, maana yake wamesharudisha mitaji Yao, lakini bado wanaendelea kulipwa asilimia 10 zao🤔🙌Mimi ndo kwanza naiskia kwako!
Unapewa asilimia 10 ya Pesa kila siku?
Kampuni inapataje faida Sasa?
Hizo fursa ni nzuri sana ila jitahidi ufanye tafiti imeanza lini maana nyingi huwa zina duration ya mwaka mmoja au zaidi....wa kwanza kula wa mwisho huliwa.Habari za Leo?
Jamani, nimeshirikishwa fursa na mtu mmoja, anasema, Kuna biashara mtandao inaitwa GWAC.
Watu wanawekeza pesa na ukishawekeza baada ya siku moja, unaanza kurudishiwa asilimia 10 ya pesa uliyowekeza kila siku mfululizo kwa mwaka mzima. Tayari kuna watu wananufaika nayo, ikiwemo huyo aliyenishirikisha. Yeye amewekeza laki 3, maana yake anarudishiwa elf 30 kila siku, Leo anaingia siku ya 5. Uhakika wa kudumu kwa kampuni hii haujulikani, lakini Kuna watu wamesharudisha mitaji Yao Sasa wanalipwa faida zaidi.
Swali langu nikwenu, mmeshaisikia hii fursa?
JichanganyeHabari za Leo?