Naomba kuijua biashara mtandaoni ya Gwac, nasikia watu wengi wamejiunga

Unajua chochote kuhusu โ€˜Pyramid schemeโ€™ au โ€˜Ponzi schemeโ€™?
 
Haya ndiyo maswali najiuliza pia, lakini mpaka Sasa huyu mtu na jamaa zake wengine wamelipwa zaidi ya siku 10, maana yake wamesharudisha mitaji Yao, lakini bado wanaendelea kulipwa asilimia 10 zao๐Ÿค”๐Ÿ™Œ
Au hao watu ni WA demo? Mkuu hebu WAAMBIE wakueleweshe baada ya kuirudisha hela yako! Hiyo asilimia 10 wanaoendelea kulipwa inatoka wapi?
 
Aiseee wabongo kila siku wanalizwa ila watu hawakomi
 
Enzi zile DECI ina tapeli watu Baba na Mama yako walikuwa hawajavunja amri ya sita kukuleta duniani ?
 
Umeleta tangazo kijanja sana ๐Ÿ˜„. Lazima kuna wapumbavu wapenda mteremko watakucheki PM... Mimi naona uwapige tu maana hakuna namna.
 
Haya ndiyo maswali najiuliza pia, lakini mpaka Sasa huyu mtu na jamaa zake wengine wamelipwa zaidi ya siku 10, maana yake wamesharudisha mitaji Yao, lakini bado wanaendelea kulipwa asilimia 10 zao๐Ÿค”๐Ÿ™Œ
Ni mara yako ya kwanza kusikia michezo kama hii?
 
Umeleta tangazo kijanja sana ๐Ÿ˜„. Lazima kuna wapumbavu wapenda mteremko watakucheki PM... Mimi naona uwapige tu maana hakuna namna.
Mi mwenyewe hata sijajiunga, nilidhani Kuna hata mmoja mwingine anaijua atupe ABCs za hiyo GWAC, lakini mpaka Sasa sijaona
 
Ukiingia ongeza watu kumi upate faida zaidi.
 
Wanaotapeliwa huwa inaanza tamaa
 
Kwa uwelewa wangu najua makampuni mengi au watu wengi huwa wanavutia watu kwa njia hizi
Mtu au watu wanakuwa na hela nyingi na kuanza kurudisha ili muone ni fursa
Hakuna hela za bure aisee
Maana kama ni hivyo wastaafu wangeshiba kutoka serikalini
Hapo unaona mwenzio kawekeza laki 3 anapewa hela za bure kila siku
Sasa wewe jichanganye uweke milioni na mwingine unamhadithia anaweka 3m
Sasa wakiona wamewapata wengi na wametimiza lengo au kiasi kikubwa cha pesa
Hapo ndio wanatupa mawasiliano yao yote kila ukipiga holaaa
Nimeona watu wamepigwa hivi sana ila siwezi kuangukia tamaa hizo hata siku moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ