Wakuu ni mimi tena
Baada ya kupost wiki iliyopita kuomba kibarua chochote nikapigiwa simu na mtu
ASANTE KWA WEWE ULIYECHUKUA NAMBA YANGU NA KUNIUNGANISHA NA BOSI(najua umo humu)
MEMBERS WENGINE MLIOFANYA UZI UWE TRENDING KWA DAKIKA KADHAA WATU WAKAONA NAMBA YANGU.
ilikuwa hivi;;
MTU;Wew ndo mwenye hii namb unataka kaz?
MIMI;Ndiyo, ni wapi mkuu?
MTU;nimepewa namba nikwambie ni wapi na mshahara ni kias gan kama upo tayal njoo mda wowote na nauli yako utarudishiwa
...Wakuu nipo kibaruani nmepata kamuda kidogo nikushukuru wew uliyeniunganisha na niwashukuru members wote
Kwa mara nyingine tena simjui aliyeniunganisha wala bosi mwenyew kikubwa msimamizi wangu ananiambia nimekabidhiwa nikusimamie HIYO JAMII FORUM NDIYO NINI MBONA SIJAWAHI KUISKIA?
Mwisho nasema hivi wakuu mimi siyo mwema sana ila kwa leo naomba MUNGU wangu awape baraka nyingi sana
wacha nirudi kazin wakuu.
Asanten JF.