Naomba kuishkuru JamiiForums kwa mara nyingine, baada ya kupata kibarua

Naomba kuishkuru JamiiForums kwa mara nyingine, baada ya kupata kibarua

Ni kweli mkuu,na hongera zake,mm sister kamaliza chuo mzumbe gpa nzuri tu tena alipambana kweli kwelii katika mazingira magumu,lakini mwaka wa 6 huu kazi hamna,kaenda interview hadi kachoka,mwisho wa siku kaamua tu kuuza mihogo,huwa namuona anavyo hangaika akisikia kazi interview kwenda kopa hadi nauli kama tukiwa hatuna pesa lakini wapi,naon Mungu bado hajawa upande wake.na hiv msomi ndiye yey kazi kweli kweli.
Mkuu,sometimes maisha yanaweza kukupitisha kwenye njia ngumu ili kukupeleka kwenye neema,kikubwa ni kutokukata tamaa tu.
 
Ni kweli mkuu,na hongera zake,mm sister kamaliza chuo mzumbe gpa nzuri tu tena alipambana kweli kwelii katika mazingira magumu,lakini mwaka wa 6 huu kazi hamna,kaenda interview hadi kachoka,mwisho wa siku kaamua tu kuuza mihogo,huwa namuona anavyo hangaika akisikia kazi interview kwenda kopa hadi nauli kama tukiwa hatuna pesa lakini wapi,naon Mungu bado hajawa upande wake.na hiv msomi ndiye yey kazi kweli kweli.
SIKU YA KUPATA HAIJULIKANI MKUU
 
Aisee usinianzishe uzi wa kunishukuru. Miaka kadhaa nyuma (wakati natumia IDs zingine) nilijishukuru kwa id fulani kwamba najua kusaidia watu wenye huhitaji. Dah! Watu wakajazana PM kunipiga vizinga, kimoyomoyo nikawa nasema, wangekuwa wanajua kuwa sina kitu wangekuwa wananichangia 😂
dogo bird unazingua saaana😃😃
 
Mm jf hii mkuu imenisaidia sana kupat kuwa kibenteni, ilinipa jimama la haja! Yani kazi yangu mm ni kwenda jimu tu kulitengenezea siksi paki mana linazipenda vibaya sana. Linasema mumew ana kitambi kimoko chali Lamomy
 
Wakuu ni mimi tena

Baada ya kupost wiki iliyopita kuomba kibarua chochote nikapigiwa simu na mtu

ASANTE KWA WEWE ULIYECHUKUA NAMBA YANGU NA KUNIUNGANISHA NA BOSI(najua umo humu)

MEMBERS WENGINE MLIOFANYA UZI UWE TRENDING KWA DAKIKA KADHAA WATU WAKAONA NAMBA YANGU.

ilikuwa hivi;;

MTU;Wew ndo mwenye hii namb unataka kaz?

MIMI;Ndiyo, ni wapi mkuu?

MTU;nimepewa namba nikwambie ni wapi na mshahara ni kias gan kama upo tayal njoo mda wowote na nauli yako utarudishiwa

...Wakuu nipo kibaruani nmepata kamuda kidogo nikushukuru wew uliyeniunganisha na niwashukuru members wote

Kwa mara nyingine tena simjui aliyeniunganisha wala bosi mwenyew kikubwa msimamizi wangu ananiambia nimekabidhiwa nikusimamie HIYO JAMII FORUM NDIYO NINI MBONA SIJAWAHI KUISKIA?


Mwisho nasema hivi wakuu mimi siyo mwema sana ila kwa leo naomba MUNGU wangu awape baraka nyingi sana

wacha nirudi kazin wakuu.
Asanten JF.
Ukawe na moyo huo huo wa kusaidia wengine.......Hongera kwa kupata ajira.
 
Back
Top Bottom