Naomba kuishkuru JamiiForums kwa mara nyingine, baada ya kupata kibarua

Naomba kuishkuru JamiiForums kwa mara nyingine, baada ya kupata kibarua

kuna mdogo wangu anatafta kazi,wanalipaje mshahara na ni wapi
Mkuu malipo ni mtego mtu anaweza akakwambia analipa hela ndogo ukikubali kidogo unaongezewa.

kwahyo hata akipata asithubut kukataa mshahara mdgo hata wakisema elf 50
 
Mshahara wako wa kwanza unitumie mimi ili uendelee kufanikiwa zaidi hapo kazini.
 
Tunafurahi kusikia hivyo na JF ilivyo na utambulisho wa kificho si ajabu huyo huyo alikupa kibarua ndio member aliyeliona ombi lako na kukutafuta directly.
 
Back
Top Bottom