Naomba kuishkuru JamiiForums kwa mara nyingine, baada ya kupata kibarua

🤣🤣🤣
Hutaki nikuanzishie Uzi wa kukushukuru ? Fanya jambo basi
Aisee usinianzishe uzi wa kunishukuru. Miaka kadhaa nyuma (wakati natumia IDs zingine) nilijishukuru kwa id fulani kwamba najua kusaidia watu wenye huhitaji. Dah! Watu wakajazana PM kunipiga vizinga, kimoyomoyo nikawa nasema, wangekuwa wanajua kuwa sina kitu wangekuwa wananichangia 😂
 
msimamizi wangu ananiambia nimekabidhiwa nikusimamie HIYO JAMII FORUM NDIYO NINI MBONA SIJAWAHI KUISKIA?
N bc tuu tukiwa JF tunajichukulia wa umuhimu sana kama vile jamii inatuona namna tulivyo humu JF, ila ukweli n kwamba n watu wachache mno wanaifahamu JF, kati ya watu 1000 unaopishana nao inawezakanna mmoja ndo anaijua jf Ht juu juu tuu.

Ila ukija humu JF utawasikia watu wanasema wanalinda privacy zao 😂
 
Hongera mkuu
 
Jf inakua taratibu ila ndiyo mwendo.

Mim niliambiwa na mtu 2015 nikaanza kusoma humu ila na mm kuna wat wawil watat wameijua kupitia mm
 
Hongera sana mkuu, fanya kazi, kuwa mwaminifu ili huyo aliyekuunganisha afurahie positive feedback toka kwa boss.
 
Hongera sana mkuu, fanya kazi, kuwa mwaminifu ili huyo aliyekuunganisha afurahie positive feedback toka kwa boss.
Asante mkuu, nitajitahidi kadri ya uwezo
Naomba Mungu aniepushe na shari
 
Nje ya JF,watu wengi hua wanajifanya hawaijui kabisa JF,

Huyo aliyekwambia hivyo,huenda ni member maarufu sana tu humu.
Ni kweli mkuu,na hongera zake,mm sister kamaliza chuo mzumbe gpa nzuri tu tena alipambana kweli kwelii katika mazingira magumu,lakini mwaka wa 6 huu kazi hamna,kaenda interview hadi kachoka,mwisho wa siku kaamua tu kuuza mihogo,huwa namuona anavyo hangaika akisikia kazi interview kwenda kopa hadi nauli kama tukiwa hatuna pesa lakini wapi,naon Mungu bado hajawa upande wake.na hiv msomi ndiye yey kazi kweli kweli.
 
Quote Reply
Report Edit Delete
https://www.jamiiforums.com/threads...ara-nyingine-baada-ya-kupata-kibarua.2486940/
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…